@chollojunior: B.F.F. Nitaanzaje miii kukwambia miiii nakupenda na ukaniaminii urafiki wetu wewe na mimi Navunjika moyo naumia roho siri zako wewe si ndio za kwangu mii Ni Zaidi ya boyfriend nafasi yangu mii Madaraka gani uliyonipa kwani naumia kimoyomoyo #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibar #bongoflava @ibra_malume