@lifeyaomera: Magenge ya nchini Haiti yamegusa siko! 💥 Rais Nayib Bukele atangaza operesheni kali ya kijeshi nchini Haiti baada ya magenge hayo kuteka nyara raia wanne wa El Salvador. Bukele ametoa onyo kali: "Kile kitakachofuata kama hamuwatofautishi na kuwarudisha wakiwa hai mtajuta!" Moto umewaka! 🔥👇 #NayibBukele #Haiti #ElSalvador #Breaking #creatorsearchinsights

Longnus Huncho
Longnus Huncho
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 06:21:34 GMT
149308
9032
213
112

Music

Download

Comments

babeminah1
🌬️(●♡∀♡)(๑˙❥˙๑)🔗🤍💕 :
kama sio bby love kuuliwa haya yote tusingekuwa tunajua
2026-10-27 07:36:25
144
hanangboy4
hanangboys :
kwanini wasilipue hiyo geng members ya Haiti 🇭🇹
2026-10-27 08:38:21
66
yusuphoficil_110
Yusuph Masomhe :
kama TRUMP alishindwa kuchukua hatua raia wake 13 walipotekwa na MAOZU yeye ataweza
2026-10-27 15:09:42
2
user3552714507155
PAUL :
Hilo ni jeshi dhaifu kuwahi kutokea yaaani jeshi mnasunbuliwa na vibaka tyu hiyo operations ilitawakiwa ifanyeke zamani saana sio sasaiv yaaani jeshi la nchi linasumbuliwa na vibaka wenye mgenge??
2026-10-27 08:54:43
11
fatumazuberi536
official kachopra :
nmeskia nice b kajeruhiwa nikirepot kutoka chatgpt
2026-10-27 11:52:56
24
gblessed92
GBlessed :
hiyo Haiti naona haina madini, na haina vitu vya maana, ingekuwa ina madin Trampo angeshaichukua nchi tayari, wale watu wana akili sana, Tanzania ijichanganye kama Haiti uone dakika zero tu kashaibeba nchi trump ni mtu mbadi
2026-10-31 00:50:29
3
i4kizzy01
🅛︎🅘︎🅛︎ i⃠c⃠y⃠ 🥶🧊💙🧊🥶 :
kaka naomba almudhish
2026-10-30 12:54:33
7
j..6390
j..63 :
wewe nimekuelewa mtu anasimulia ovyoovyo wewe umeeleza vizuri
2026-10-31 00:17:17
8
dinahyasin3
Dinah🦋💕🦋 :
Wamegusa pabaya Kama hvy bukele Hana masikhara kabisa linapokuja swala la magenge
2026-10-28 06:07:16
14
fficialbayah
😜fficialbayah🌹 :
brother umepoa sana, unaelezea kitu vzr sana
2026-10-31 12:16:30
2
jeinsey
jeinsey :
hao wanajeshi wajipange sana maana haoʻ jamaa wana akili na mbinu za kuvizia kinoma afu isitoshe wanajua chocho za mji wote
2026-10-27 15:22:28
11
faridahbilal246
mariam :
kwan rais wao yupo wap?
2026-10-29 04:55:09
5
samababytho
Sama Babytho :
nilikua naitafuta hii habarii mana nilikua sielew elewi
2026-10-27 14:24:07
9
jazamliyaya
Rick Ross fans tz 🇹🇿 :
kaka mna kazi uko
2026-10-31 12:41:21
1
ester.c22
Ester C :
leo nimekuwa wa kwanza kwa hii stor
2026-10-27 06:26:40
7
neema_mangala
ney❤️😇 :
mim mpk nimekufolo nipate tu umbea wa huko brother
2026-10-28 08:47:49
8
ms.muuuuh
it's muuh❤️ :
kaka naomba kopo 1 la maziwa😁😁
2026-10-30 11:16:48
2
anjelautenga
Anjellah🥀 :
naomba milo mgongoni
2026-10-27 10:50:15
6
user7876785073862
Mwarabu Wa Kati :
Hivi Haiti 🇭🇹 yapatikana bara ghani
2026-10-31 18:01:10
0
amos19788
77 :
BUKELE No Be their mate ooh I love him from Nairobi kenya
2026-10-30 17:12:39
4
qeensheenda
misssophie❤️‍🔥📸 :
Na inaonekana yule wilson mkuu wa 400 mawozo amesema sio yeye aliyewateka ila kasema kama hao wanajeshi wanataka kuja Waje na kusema awezi kukimbia yaan anatia huruma nazani rais uyu aacheki na yyte na ananguvu kwenye mambo hayo
2026-10-31 00:25:21
2
franco_traveller25
Franco, Mr.traveler25 :
bukele hakumaliza vita kw kushinda magang. liingia makubalian na wakuu w magang pamoj na making pin w madaw ya kulevya. kupitia madeal hayo amani ilirudi na magang yakaondoka ndan ya El salvador.
2026-10-31 11:36:30
2
bakaromary215
kevo :
tumkuxhoka na habar zako
2026-10-27 08:03:48
0
happy.ibrahimu8
Happy Ibrahimu :
jamanii achukue wanajeshi wake na awasaidie justice for baby love
2026-10-31 09:21:52
3
sonia.dangote
Sonia dangote :
baby love mungu anaanza kufanya kazi kbs
2026-10-28 20:31:35
1
To see more videos from user @lifeyaomera, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About