and on the Sabbath day Jesus went in the synagogue to teach,,
2026-10-31 23:39:54
0
mlinda mlinda :
Soma matendo ya mitume 16:12_13
2026-10-29 07:42:23
1
Mcdonald :
nataka mjadala na wewe... unakumbali?
2026-10-29 07:31:14
0
Ntagutuna :
WASABATO wengi siku hizi wameanza kuhoji mambo mengi ya dini ya SABATO. Wamehoji kuhusu kusuka, kutokupika jumamosi na mengine mengi. Sasa hivi dini ya kisabato inevutia maskini zaidi.
2026-11-02 15:26:33
1
Gédéon :
na Yesu alivunjasabato yoane 5:17
2026-11-02 14:17:46
0
Kalinjuma Elias :
SASA KAMA WANAFUNZI WA YESU WALISHIKA SABATO
JE, JUMAPILI IPONDANI YA BIBILIA AU IKO NJE YA BIBILIA ?
2026-11-02 04:36:50
1
blaa :
Wamenyamaza mbn siwaoni apa
2026-10-28 04:25:38
2
Method Emmanuel :
Unapatikana wapi ndugu kama uko Dar nataka tufanye mjadala
2026-10-31 19:19:50
1
MASOHO :
sabato nin kwenda kupumzika wapi?
2026-11-02 09:09:19
0
givenchildofmother :
Hii ndio jumla ya maneno yote yamekwishasikiwa,mche Mungu nawe uzishike amri zake maana kwa ujumla ndiyo impasayo mtu.Muhubiri 12
2026-11-02 08:29:56
0
judith kihango :
nawewe ulikuwa wapi kipindi icho
2026-11-01 19:30:34
0
bk4orealy :
Sabato ni tokea mwazo ns itakuwa mpaka mbinguni
2026-10-31 20:09:12
1
e7 :
😁😁😁😁 hii mitandao kila mtu keshajua
2026-10-31 19:37:04
0
PH :
dini au biblia hujui, sasa tukusaidiaje
2026-11-02 10:34:12
0
kayo.k :
naomba unipigie nilipoteza namba yako
2026-10-27 07:13:41
0
jimmysingo :
POLE KAKA KUTO KULIJUA NENO YESU ALISEMA YEYE BWANA WASABATO WEWE NDIO UNAPINGA
2026-11-02 09:13:51
0
kennitto :
soma tena biblia yako vizuri bro Sabato ni amri wala si siku tuu...
2026-11-02 05:22:35
0
Kalinjuma Elias :
EZEKIELI 46:1-3
SIKU YA SABATO NI SIKU YA KUMWABUDU MUNGU
Wacha kusoma bibilia vipande vipande
2026-11-02 04:43:38
0
Gédéon :
kweli kabisa
2026-11-02 14:15:35
0
bk4orealy :
wee ndo hujui chochote ,
2026-10-31 20:07:50
0
joe :
we talk about African spirituality and not on foreign gods and religion
2026-10-31 17:26:55
0
Paschal buzwile :
tatizo ni sabato? sabato nipo kabla ya wayahudi soma biblia mwanzo 2
2026-10-31 22:31:18
0
Ntagutuna :
WASABATO wanafuata maagizo ya EGW. Maana yake angeliwaambia wawe wanavaa makanzu wangelifuata! Angeliwaambia wawe wanatoa viatu kabla ya kuingia kanisani wangelifanya hivyo.
2026-11-02 15:24:12
0
FEILY :
Kuna huyo mwanamke alizuka Marekani ndo alianzisha hayo mafundisho ya kumpinga Yesu, warudi wajifunze kwa Yesu
2026-10-29 07:33:11
0
WAMBINGUNI 7 :
kweli wasabato ni wapingakristo
2026-10-27 11:00:53
0
To see more videos from user @josephyobegwa, please go to the Tikwm
homepage.