@millardayo_: Wanafunzi wanane waliohitimu Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Aboud Jumbe iliyopo Kata ya Mji Mwema Wilayani Kigamboni Jijini Dar es salaam wamewaomba radhi Wazazi, Walezi, Walimu, Wadau wa Elimu, Viongozi na Watanzania kufuatia picha mjongeo iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha wakitoa lugha zisizofaa. Wanafunzi hao wameomba msamaha huo leo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya ambaye ameitisha kikao katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni kikiwahusisha Wanafunzi hao, Wazazi/Walezi na Maafisa mbalimbali wa Serikali. Wanafunzi hao wamesema ni shetani tu aliwapitia na furaha ya kuhitimu masomo iliwazidi hadi kujikuta wanafanya matendo yasiyofaa na wameahidi hawatorudia tena. Kwa upande wake Mikaya amewasihi Wazazi, Walezi na Walimu kuungana pamoja katika kuhakikisha wanafuatilia mienendo ya Watoto wawapo shule na majumbani ili kudhibiti vitendo vya hovyo huku akiwapiga marufuku Wanafunzi hao kutorudia kufanya mambo kama hayo na kwamba wamesamehewa na hawatapewa adhabu yoyote. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 07:20:46 GMT
Music
Download
Comments
king Diasso🦁🦁 :
je sisi tulofichwa ndani na wake zetu inakuwaje
2026-10-27 07:27:18
217
Last born wa taifa :
wambie sas wake zetu watufungulie
2026-10-27 08:43:40
41
Mt Boy :
mim nkitoka baada ya kufichwa siku nne
2026-10-27 08:12:50
60
Omary :
naomba kulipwa fidia nimefichwa ndani siku 4 sasa
naomba nilipwe kiasi Cha billions 6.8
2026-10-27 08:01:22
49
aduimakopa :
Sasa bwana angu yupo huru
2026-10-27 08:47:59
33
blue_xtr :
Mpaka tuone matokeo yao ndo tutawasamehee
2026-10-27 08:57:19
17
Jira Fine Beauty :
yani nimfiche bwana angu halaf niwasamehe hivi hivi? hapana kwa kweli[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-27 08:20:34
12
chaully :
kama wamekili bac hamna shida maana kila binadamu hajakamilika🙏♥️
2026-10-27 09:37:15
9
Mama 6 :
Tangu ile siku bwana angu nimemficha
2026-10-27 07:32:24
11
Offical love❤️ :
5/5 njoooni chap
2026-10-27 07:26:41
6
ibrah :
tunacho iyomba serikali wapunguze miaka
2026-10-27 10:21:30
5
lay💋💋 :
Tuliioficha waume tuwaachie au😁😁😁
2026-10-27 07:33:18
5
JOVITHA BEAUTY ❤️🫶🏻 :
Hii Ndio El Niño sasa
2026-10-27 08:12:40
6
Mintface pro :
mimi kiukweli ata waombe vipi msamaha.. binafsi siwasamehi walahi.. yan kila nikifikiria Babangu alivofungiwa na mama wiki nzima ndani Daah
2026-10-27 09:27:12
6
bright isaack :
future
2026-10-27 10:22:43
2
yaxo boy :
wafunzwe maadili wanatakiwa waka fanye usafi kwenye ofisi ya wilaya ata mwezi mzima kama adhabu ndogo
2026-10-27 07:33:32
9
sonming_tz☠️ :
sasa mimi sikufichwa vp kuhusu kondom zangu nilizoandaa
2026-10-27 08:41:22
6
winny73 :
Kuna wazazi wanalia
2026-10-27 08:11:43
6
montana :
libase moto
2026-10-27 07:29:04
5
Wigs_chanika :
Yaan nimemficha bwana angu mpaka Leo sijui nimtoe lini
2026-10-27 07:34:41
5
𝖑𝖎𝖑𝖞❤🔐 :
𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗶𝗼𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝘄𝗮 11
2026-10-27 09:17:36
1
christopher pamba :
nina ombi moja Smart phone zote zifungiwe
2026-10-27 10:20:20
2
emiy :
wafungieni mtihani hao
2026-10-27 09:26:34
3
Petromalley🧍♂️ :
nipeni Moja Kati yaoo
2026-10-27 10:27:09
3
J HD💞 :
humu tu humu tu😂
2026-10-27 10:24:06
3
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.