endeleen mkiona wazung mnawajali saan lkn wao wanatubagua
2026-10-27 09:51:22
30
Hellenitha :
Wasicho jua ndio wamempa promo kubwa sana
2026-10-27 10:32:15
40
Kala Mzuluvendi :
Huu syo ubaguzi huu ni wivu,hebu tujaribu kutofautisha ubaguzi na wivu kwa sababu ktk picha hii mtoto .weusi hakuwa peke yake lkn walimtoa huyo kwa wivu na wivu binadamu wote tunao
2026-10-27 09:45:05
17
HAJRA :
lkn ndo wamempiga teke azidi kwenda mbele Mungu yupo 🥰🥰🥰
2026-10-27 10:31:01
10
BABA😎 :
ukiangalia kwa umakini dogo anauwezo mkubwa sana hivyo watafutie Tu academy ya mpira ila hapo sio saizi yake
2026-10-27 12:29:17
6
Martha michael :
wivu unawasumbua tu wanazingua tu Kama wao hawana kipaji tuwasaidiejee sas
2026-10-27 10:51:18
2
Omary Maulidy :
wampeleke lamasia barcelona
2026-10-27 14:42:50
0
athuman lazy :
angalia mtoto alipoitwa anavyotia huruma kwa mama yake mbele ya askari noma sana
2026-10-27 09:43:48
4
comfort :
maybe ni mbinu tuuu za kufanya hio accademy ijulikane
2026-10-27 11:02:34
3
Ray @shaid :
wivu tu unawasumbua
2026-10-27 14:48:19
0
michael kiroya :
I wish mfadhili atokee wa kumpeleka Lamasia
2026-10-27 13:03:08
1
user8174518421786Akanganyira :
kanacheza Hadi kanapitiliza 🤣🤣🤣🤣🤣Hadi Mimi Kuna muda kananitia hasira yaani hakuna anayeshika mpira.we kuweza!!!
2026-10-27 09:34:13
1
Simon Zacharia :
Wivu,roho mbaya ubaguz haupo Ulaya tu bali hata kwetu Afrika changamoto iliyo ndani ya akili ya mwanadamu.Tumeumbiwa hvo Mungu atusamehe.
2026-10-27 12:36:26
1
MONSTAR :
hiyo haikuwa nshu seriously bhn msiii kuze kiasi hiko kuona kama kuna ubaguziiii
2026-10-27 09:40:26
0
mahame 🤝 :
aje yanga akademi
2026-10-27 10:10:47
1
StoNe walker Luxury Hair :
SIO Kweli ,huenda alikuwa hashilikiani na team mates wenzie kucheza Kwa Mfumo.Hawawezi shitaki eti kwasababu ya uwezo wa mtoto
2026-10-27 12:00:35
0
Almiron :
hapo ndy wamempeleka mjin bila kujua kesh utajua yupo man city au lamasia
2026-10-27 14:07:43
0
conami@ hamis :
kwa FFA wao wanasemaje
2026-10-27 14:09:12
0
Pamba 3 Colour :
kumbe marekani ubaguzi wa rangi bado kiasi hicho mi nilidhani sikuizi wameacha daah wanamu tunajisahau sana kama dunia tunapita tuy
2026-10-27 14:50:01
0
blanter :
Hahahaaa yani MUNGU anawanesha ukubea wake kilacku lakini bado wanabisha, ila uzuli ni kwamba la MUNGU ni lazima liende
2026-10-27 14:57:04
0
Muuh Clinton :
20 \ 20
2026-10-27 14:10:20
0
Munirah Yeshi :
apooo ndio miujizaa ya mungu inatokea sasa mtoto adajulikana dunia nzimaa mungu ujitokelezaa kwa namna iyo...nafikirii umwniwlewa ameeen👌
2026-10-27 14:34:12
0
Happy Chanya121 :
Daah
2026-10-27 08:56:35
0
To see more videos from user @ivy__tz, please go to the Tikwm
homepage.