@youngsayeed: PART 2 Mchungaji uso kwa uso na Young Sayeed....!! Fuoni Zanzibar...!! MADA; MUNGU WANAOMUABUDU WAISLAM NA WAKRISTO YUPI SAHIHI?

Y҉o҉u҉n҉g҉ ҉S҉a҉y҉e҉e҉d҉ 🔷
Y҉o҉u҉n҉g҉ ҉S҉a҉y҉e҉e҉d҉ 🔷
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 08:16:29 GMT
48117
4305
328
96

Music

Download

Comments

prettynanah676773
Sanitirii :
young said skuiz ananenepa mashallah 🥰
2026-10-30 10:09:09
0
hm_phone.znz
@HM_PHONE.znz⭐️ :
😂😂 young saeed unawabana
2026-10-30 07:04:15
0
mr.radda
Mr radda :
mwenyezimungu mpe umri mrefu young sayeed
2026-10-27 08:28:00
108
nickowangu
Sir Nick :
neno la Mungu sio tamko, neno la Mungu lina uhai hapo mwanzo "alikuwako neno"
2026-10-27 16:28:00
2
user3407366173022
Alhikma bin Nassor :
Kwani ikiwa Yesu alikuwa ni mungu kwanini alikuwa anaona uzito kusema mimi ni mungu mpaka aseme mimi niko
2026-10-27 08:57:24
21
mirrormpemba
abduly mpemba :
waislam takbir
2026-10-27 08:40:02
31
cadabra9090
cadabra9090 :
Young sayeed anafikiria haraka sana siku fikirkia ungeulza kuhusu kinyesi …maa shaa Allaah
2026-10-27 08:27:33
33
hussein.quran8
Hussein Qur'an :
kwa mara ya kwanza namuona mchungaji mzanzibar 😁😁😂
2026-10-28 11:36:00
6
shaibsalum7
shaibsalum7 :
kuutetea ukristo kaz sana
2026-10-27 09:28:02
17
rideboy20
tuji funze :
allah kuzidishie kaka maana hawa wezetu wagumu sana daah
2026-10-27 09:33:35
11
mzur.tizo
Mzur Tizo :
Maana ulishajibiwa Yesu alifanyika mwili akakaa kwetu, yohana 1:14, yote yaliyofanyika juu ya Yesu ni maaandiko juu ya uokovu, , ila pia maana ya midahalo ni kubishana na si kuelewa juu ya mada harisi,
2026-10-29 21:08:35
1
endihaston
endihaston :
jmn madrasa sio elimu Kila nioiangalia iyo midaharo naonaga mashehe WENGI sana wanabishana kwa kitaka kushinda na sio kuelewa NALUDIA Tena madrasa sio elimu
2026-10-29 05:56:22
1
kvnot4
kvnot4 :
mungu wao anaitwa mimi niko 😅😅
2026-10-27 12:49:37
2
zegelejunior17gmail.com
Zegele junior :
lengo la shehe ni ushindani, hakika tujikite kufanya ibada, haya si maelekezo ya mtume.
2026-10-27 09:32:29
1
hunter07tz
hunter_Sk🌀 :
takbir
2026-10-27 08:25:59
11
r.h.d.papaa
R.H.D.PAPAA➿️ :
Kumbe mungu anaitwa NIKO halafu hatuelew
2026-10-28 07:32:03
2
50.senty
50.senty :
yang said apo kwa ilo jamaa kazi unayo ALLAH akufanyie wepesi
2026-10-28 16:31:19
2
abdulimwaphezo
Abduli Mwaphezo :
waislamu Takbir💪
2026-10-28 17:15:19
2
kwetuvibes
𝕱𝖔𝖈𝖚𝖘 𝕱𝖎𝖌𝖍𝖙𝖊𝖗 🐉 :
mchungaji alifaakuwa mchezaji wa man u kabisa mbeumo 😂😂😂
2026-10-27 21:51:13
4
karioke360
Yavuz :
unazidiwa af na mzanzibar
2026-10-27 11:44:50
0
maheerhamad3
[email protected] :
Watakwambia unatakiwa uwe na roho mtakatifu ili uelewe bible
2026-10-27 09:58:02
2
omarmkubwa
Omy Boy♥️♥️♥️ :
anaelewa ila anajitoa ufahamu dah😁😁😁😁
2026-10-27 20:24:08
1
neefar8
Neefar❤️ :
Allah akuhifadhi 🙏❤️young saeed 🤌🏽❤️Ameen ❤️
2026-10-27 13:39:02
3
user6148358614290
Zakaria :
😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 subhana Allah
2026-10-27 13:54:51
3
To see more videos from user @youngsayeed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About