@bongofive: Naibu Waziri wa katiba na sheria wa sasa ni Mhe Zainab Athuman Katimba (Mb.) amesema hayo Bungeni leo akijibu maswali ya Wabunge kuhusu suala la mirathi. Una maoni gani? Imeandaliwa na @yasiningitu

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 08:56:38 GMT
29138
356
19
146

Music

Download

Comments

ntulimwakilasa
Ntuli Mwakilasa :
Asante dada kweli ubarikiwe [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-27 12:05:30
0
lulu.saloon.buhong
Lulu saloon Buhongwa :
Dd uko sw
2026-10-27 11:09:36
0
zaikijiwenongwa_
ZAIKIJIWENONGWA_ :
ARE U SERIOUS 😂😂😂
2026-10-27 10:08:04
0
abubakariddi8
userabubakar :
dada mambo ya mirathi imetajw ktk qur an hatitaji kupangiwa na mtu
2026-10-27 16:18:44
3
bintmemba1
Its me💦 :
Mnataka watu wauane nyie
2026-10-27 20:07:36
0
evalutanjuka
Eva Lutanjuka :
Ila jamani hiyo mirathi inachelewa sana.imagine mtu anakufa ameacha watoto wa nje wakijakupata haki zao inachelewesha sana zaidi ya miaka 4..
2026-10-27 19:59:56
0
aron.lwabukoba
Aron Lwabukoba :
umeongea point
2026-10-27 19:14:22
0
sameerfashion06
SAMEER FASHION :
et kwa mfano maremu n mume kwani mnatuchukuliaje sis n wanaume?
2026-10-27 16:18:49
0
mtf1234567
user3523604900623 :
nani anaamua tumia sheria ipi?
2026-10-27 12:30:49
0
annastazia.annast49
AN :
na kama mke na mume walijenga akifa mmoja kwann zizawanywa asibaki nazo aliebaki kuendeleza familia?
2026-10-27 15:30:05
0
aliana3578
aliana :
asante sana ubarikiwe
2026-10-27 12:49:38
0
iz.khakcode21
Code 21 :
Kwa sheria ya dini gani
2026-10-27 16:26:04
0
ayubuadam1
Scarface :
mfano mm mtto wa nje ya ndoa na baba yang amefarik nikiwa mdogo mama wakambo na muliza anasema baba yako ajakuachia kitu apo imekaaje?
2026-10-27 16:29:41
0
georgekinabo6
Eddy :
mnaongea tu,watoto mnawadhulumu haki zao,wakatinatumga Sheria hizo mlikuwa na ulafi wa Mali mke na mume ,wakati mtoto haluwekewa mwakilishi😳
2026-10-27 12:17:35
0
khofu.ally.mlewa
KHOFU ALLY MLEWA :
dada usipangieh tuna dini yetuh na taasisi yetu muulize ata raisi wetuh na kila mtu na dini yetu mtachafuwa dada msitafute matatizoh
2026-10-27 11:05:18
1
dashmtata3
dashmtata3 :
serikar nimataper
2026-10-27 17:38:54
0
omarialliy2
ustadh Omar :
wazinifu wakiskia mtoto wa nje ya ndoa anridhi ndipo huzidi kuzini wana hakuna jambo la kuwabana kwao
2026-10-27 14:47:25
0
salim.salim0785
Salim Salim :
kwa hoja hiyo hakuna haja ya ndoa
2026-10-27 13:17:48
0
wanda726423
wanda72 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-27 19:38:19
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About