hakuna mwanaume anaoa ili amuache mke wake ila ukiamua kuchenge hatuvuliii
2026-10-27 19:20:38
2
mag :
Kweli kabisa kaka huo ndio ukweli.
2026-10-27 19:11:30
2
Hashimu mwawato :
Huo niukweli kabisa
2026-10-27 19:50:06
1
Latifa Mustafa :
is in the husband hands bhana Wanaume Mwanaume akisimama kidedea Ndoa zote zinadum
2026-10-27 18:16:22
0
Helen :
weeeeh ngoja niamue
2026-10-27 17:26:26
0
Luqman :
hapo sikupingi 💯💯💯
2026-10-27 18:01:53
0
user24024190945116 :
Kweli kabisa 💯✅
2026-10-27 19:54:13
0
Florence Ondato :
ukweli kabisa babangu🥰🥰🥰
2026-10-27 17:55:03
0
neemah Israel :
kweli
2026-10-27 16:31:03
0
sssumyan :
mmmm uongo
2026-10-27 19:11:11
0
Salum Salum :
umeongea ukweli kk hongera
2026-10-27 15:40:07
0
mboka_mwaifwani :
mhhhh
2026-10-27 17:31:15
0
willy kachua :
nikweli kabisa mara nyingi mtu wa mwisho kwe ndoa anaesema hii haivunjiki ni mwanamke na hyo ndie anaesema basi imekwisha mwsho huja majuto mke mwenye akili na busara hawezi kuikimbia ndoa yake kwe maisha ya kawada
2026-10-28 02:01:04
0
Kipchumba123 :
[Pray][Pray][Pray]
2026-10-27 17:42:31
0
conrad felix :
@Aneti Frederk 😁
2026-10-27 16:04:43
0
ABDULGHANI :
🥰🥰🥰
2026-10-27 10:29:37
0
S :
😔
2026-10-27 21:42:15
0
To see more videos from user @loletalksmedia, please go to the Tikwm
homepage.