@temcare26: Una HIV? Tumia vyakula hivi kusaidia kuimarisha afya ya mwili na kinga! 🥗 ✅ Mayai na samaki – Hutoa protini kwa ajili ya kujenga na kurekebisha tishu. ✅ Maharage na dengu – Hutoa protini, madini ya chuma na folate. ✅ Mchicha na mboga za majani – Hutoa vitamini na madini muhimu. ✅ Machungwa na mapera – Hutoa vitamini C. ✅ Parachichi na karanga – Hutoa mafuta yenye afya na virutubisho. ⚠️ Vyakula hivi havipandishi CD4 moja kwa moja. Tumia ARVs kwa usahihi, hudhuria kliniki na fanya vipimo vya CD4 kulingana na ushauri wa daktari. lLakini pia unatamani utumie virutubisho lishe pamoja na kuondoa sumu mwilini na kuimarisha afya ya ngozi nichek Whatsapp nikupe ushauri zaidi #duet #fyoupage #viralvideo #trending #tanzaniantiktok🇹🇿