mmh m nahc nikawaida maana hata wangu alikuaga hvohvo2
2026-10-27 17:11:58
7
Brayson mlay :
iyo kushuka joto likizidi pia mtoto alali vizur afunikwe kwa kiasi kama joto nikali na avae nguo nyepesi, pia mtoto akilia sana anapatwa na iyo Hali Linda mwanao asilie ovyo
2026-10-28 19:55:35
2
mama G :
hata wangu mwezi nw ila anafanya hivyo jamn
2026-10-27 18:33:05
0
Lady Kauthar :
sio kawaida kabisaa hiyo ni kifafa
2026-10-27 20:06:52
0
TEDDIE COLLECTION :
unaijua degedege kwel em sali sana, na Mungu awalinde
2026-10-29 21:20:54
1
kh :
kuzaa si kz kazi ipo apo mpk ukaweza kumtuma ,utainua mikono juu na kusema Alhamdulilah nimekuza
2026-10-27 18:24:16
2
Royal Roy :
Mpeleke mtoto hospitali bhana usilete mazoea kila mtoto ana njia yake ya kutojiskia vizuri
2026-10-28 09:22:55
1
Beatha maritne :
mtoto akima na siku moja adi mwezi anakua anafanya michezo aliokua anafanya tumboni tusipeane visukari.
2026-11-01 08:26:46
1
ma muu :
mpeleke hospital usihic kipenzi
2026-10-27 18:38:18
1
Zayrat abaya😍 :
Nikajua wangu tu
2026-10-27 17:33:44
2
Mariah ✝️💕 :
Wewe jamani ni normal wangu alikuwa anafanya both legs and hand kwanguvu but now she is okay but see a dc
mimi mtt wangu alikua anatingisha sn mguu na mkono na dkt ksm mtt akuwa mkubwa huwa na anatakiwa anapolala sn umwamshe anyonye ukimuwacha alale sn huwa sukari inashuka vile mkibwa mtoto na muda anall bila kula kwa hy alisema baada ya masaa 2 umwamshe ili anyonye kweli ilikwisha kbs
2026-10-31 20:03:45
0
Mamyruth :
mhh sio degedege jamni
2026-10-28 03:12:48
0
mirfaty06 :
ata wangu alikua ivyo jitaidi kumfunika kipindi Cha baridi
2026-10-28 16:27:33
0
mama 🥀farhiya🌸 :
ni kawaida
2026-10-28 07:27:45
0
vivienne timber :
mhmh ninn jaman
2026-10-27 18:58:49
0
To see more videos from user @erickhilal2, please go to the Tikwm
homepage.