@mkerewemedia: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limesema kuanzia Oktoba 17 hadi 26 Mwaka huu Mkoa wa Geita yametokea matukio mbalimbali ya Mauwaji na Vifo vya Watu mbalimbali watatu ambapo siku ya Oktoba 17 , 2026 Aizack Ibrahim Mhehe (26) Mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilaya ya Chato alikutwa amefariki Baada ya yeye mwenyewe kujijeruhi Maeneo ya shingoni na tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali . Akitoa Taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP . Safia Jongo amesema chanzo cha Matukio hayo ni Msongo wa Mawazo . Aidha Jongo amesema pia Oktoba 21, 2026 , Timotheo Chande (21) Dereva wa Bajaji na Mkazi wa Mtaa wa Moringe kata ya karangalala Manispaa ya Geita alikutwa amefariki nyumbani kwao Baada ya kujinyonga chanzo cha tukio hilo ni Msongo wa Mawazo na Inadaiwa Marehemu alikuwa na Afya ya akili. Jongo ameendelea kusema Okyoba 26 , 2026 , Japhet Ladisilaus Msukuma (19) Mkazi wa Mbabani , Kata ya Mtakuja alikutwa akiwa amefariki Baada ya kujinyonga nje ya nyumba yao chanzo kikiwa ni Msongo wa mawazo uliotokana na Mahusiano na Miili ya Marehemu ilifanyiwa uchunguzi na kukabidhiwa kwa Familia.

mkerewe media
mkerewe media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 11:14:02 GMT
11520
372
11
25

Music

Download

Comments

sungaflow
SUNGAFLOW 🧸 :
timo nnae mjua mm au😳
2026-10-29 07:09:44
0
oficialnon
miss ney✨️🌸 :
jmn timo ajawah kuchizika sema nimeumia tu
2026-10-29 18:54:13
0
user8421107423382
skylay :
namutafuta babu yangu anaitwa mzee dunduli
2026-10-27 19:29:08
1
maynga45
AFSA USAFRISHAJI MKOA KATORO🙏 :
sawa sengi wetu
2026-10-30 06:06:25
0
bazo.daudidaudi2
BAZO.D💪 :
hao wameogopa elnino wakaamua wakimbie😂😂
2026-10-27 14:18:03
1
mabusiness00
zay✅ :
namini mawazo so poa
2026-10-27 17:45:54
0
sport.center88
SPORT CENTER :
pole
2026-10-27 17:18:19
0
user2103355788602neema
user2103355788602neema :
jamani mawazo mabaya
2026-10-27 11:23:20
0
chibudee8
Father tee :
sio msongo ni Ugonjwa mpya
2026-10-28 16:56:18
0
To see more videos from user @mkerewemedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About