@ashur559: 😂😂😂😂😂

Shuu!_💋
Shuu!_💋
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 11:34:25 GMT
134622
9307
774
233

Music

Download

Comments

mrjohnson_4
mr Johnson⛑ :
kila ziwa litaonja umauti😂
2026-10-27 15:31:59
119
upendopeter413
upendo yame❤️ :
[Tears of joy]
2026-10-28 07:27:39
0
baruanabdallah
Baruan Abdallah :
sisi wa 90 niwazee eti [Laughing][Laughing][Laughing][Laughing][Laughing][Laughing][Laughing]
2026-10-28 07:05:58
0
happy59181
happy :
wazee wenzangu wa mwaka 90 tujuane basi
2026-10-27 18:39:21
60
user5971004562191
zamoyoni mhesi :
ziwa manyala🤣☺️
2026-10-28 05:39:49
0
user3483510430783
magdarenamathias :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]na ndo naishi na hakuna kitu mtanifanya
2026-10-28 07:28:49
0
bother_man
Donnie Empire :
jamani ndala nimeona pekeangu
2026-10-27 12:25:44
62
chanzerawilsonchanzera73
mustafa :
salute to the fallen soldiers
2026-10-28 05:44:01
0
titusmagambo9
Magambo@123 :
ndala za miaka ya 2000 zimechoka kuliko za miaka ya 1990
2026-10-27 20:14:30
28
user7930614616326
willy billy... :
sasa haya ni madharau, tumezeeka lini sasa 🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 01:30:46
10
tanohmachota
NYEGERE🦡🦝🦝🇹🇿🇦🇷🇨🇦🇨🇨 :
naona una ZIWA la familia [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] mama shuuu bana k
2026-10-27 22:54:23
5
linje.tz7
Linje Tz :
Aje mmoja apa mzee mwenzangu wa 92
2026-10-28 05:41:20
5
msoldboy.com
👑KING👑FAHAD👑 :
umenigusa[Laugh approved]
2026-10-27 21:31:48
0
neemamwangu_59
♥️Ney💕💕💕 :
1986 hiyo imekaaje[Laughing][Laughing][Laughing][Laughing]
2026-10-27 14:15:50
6
masaka_junior
Masaka Junior :
Hata uchumi wa Tz aujashuka hivyo😂
2026-10-27 18:48:48
12
tamali.bahat.0744
RUTI :
kumbe unandala kama mimi
2026-10-27 13:34:47
19
mama.juliana7
Magdalena🥰 :
kwaiyo mimi nimekua mzee 1999
2026-10-28 07:34:32
1
erish.printing
Chide Tz :
nani Tena Huyu
2026-10-28 07:03:29
0
introvert_bill
user2497766886840 :
achana na sisi wwe🤣🤣🤣
2026-10-28 04:11:59
1
user9166958104997
suzan :
m bado naishi peke angu mniombee
2026-10-27 22:02:46
2
asiamdema
Mnyalu danger tz :
tuheshimiane😂😂
2026-10-27 19:11:02
1
user4932073190067
user4932073190067 :
mm sio mzee bwana bado wazee niwale walio zaliwa mwaka 2000 tulio zaliwa mwaka wa 1985 mpka mwaka 1996 bado niwadototo
2026-10-28 04:15:24
2
amanimdami
Amani Mdami :
Hata darasani sikulala kama yalivyolala hayo🥺
2026-10-28 06:06:56
2
nathgrace
Nathan :
Acha uongo. wa mwaka 1980 mpaka 1989 hatujawa wazee sembuse hao watoto!? By yhe way njoo tuwe wote🤣🤣🤣
2026-10-27 20:56:36
3
mbonye23
mbonye23 :
kumbe wa 90 tushakua wazee sasa niache utoto niwe sirious
2026-10-27 20:36:55
2
To see more videos from user @ashur559, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About