@mactuition: 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

SAUDI ARABIA
SAUDI ARABIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 11:38:22 GMT
13596
260
55
55

Music

Download

Comments

babliyzo.ali
Babliyzo Ali :
wapi Zanzibar au Saudi Arabia
2026-10-28 11:35:42
2
mactuition
SAUDI ARABIA :
wizi ni mbaya jaman🤣🤣🤣☺️
2026-10-27 11:39:01
3
user88429816686997
smash2552 :
mda mwengne kabla yakumuazibu mwizi tujaribu kwanz kumuhoji pia tujue anatokea wapi unakuta mtu anaishi maisha magumu San unakuta mkewe anaumwa sn kakosa msaada kila anapopita hapati msaada au mwanae au mtot wake kuna mda unapata matatiz kila unaemuelza shida zako anakuzarau nakutokukusaidia unaona Bora uafanye jambo la kuhatarisha maisha ili utimize lenngo lkn tunakumblia kuchkua Sheria mkonon kwani kuna binadamu asie Iba Kam yupo uyo amekamilika nabinadaamu hatujakamilika
2026-10-28 16:51:34
4
boyralara
boyralara504 :
🥺🥺Dada, najua umeibiwa saruji na ninaelewa kwamba kuibiwa kunaweza kuumiza na kukukasirisha sana. Lakini pamoja na hayo yote, naomba utafakari kidogo kuhusu namna jambo hili linavyoshughulikiwa. Huyo mtu mnayempiga pia ni binadamu kama wewe, ana familia yake, ana ndugu zake na huenda kuna watoto wanaomtegemea. Hata kama amekosea, je, kumpiga ndiyo njia sahihi ya kupata haki? Dada, kumbuka kwamba na wewe una familia yako, una watu wanaokupenda na una kizazi chako. Hujafa, hujaumbika, bado una maisha yako mbele yako na hakuna anayejua kesho yake itakuwaje. Leo unaweza kuwa na hasira kwa sababu ya mali yako kupotea, lakini kesho unaweza kujikuta ukijutia matendo yaliyofanyika kwa sababu ya hasira hiyo. Fikiria kama huyo mtu angeumia vibaya, familia yake ingebaki katika hali gani? Watu wanaomtegemea wangejisikiaje? Na kama jambo hilo lingekutokea wewe au mtu wa familia yako, ungependa wengine washughulikie tatizo kwa namna gani? Dada, kuibiwa ni kosa na ni haki yako kutafuta mali yako na kudai haki yako, lakini kila jambo lina namna yake ya kushughulikiwa. Unaweza kusimamia haki yako bila kushiriki katika vitendo vinavyoweza kumuumiza mtu mwingine. Tusisahau kwamba hakuna familia inayopenda kuona ndugu yao akiumizwa, na hakuna anayetamani maisha yake yaharibiwe kwa kosa alilofanya. Maisha yana changamoto nyingi, na wakati mwingine tunatakiwa kutumia busara hata pale ambapo mioyo yetu imejaa hasira. Mali inaweza kutafutwa na kupatikana tena, lakini madhara ya kumpiga mtu yanaweza kuwa makubwa na yasiyoweza kurekebishwa. Ninachotamani ni kuona jambo hili likitatuliwa kwa amani, haki ikipatikana na kila mtu akirudi nyumbani kwake akiwa salama. Kama amekukosea, waachieni viongozi au mamlaka husika washughulikie jambo hilo. Dada, kuwa na uwezo wa kuzuia hasira na kuchagua njia sahihi si udhaifu, bali ni ishara ya hekima na utu. Tusimame upande wa haki bila kusahau ubinadamu wetu. **Usiruhusu hasira ya leo iwe sababu ya majuto ya kesho🥺
2026-10-28 20:22:47
3
uniquedeeyhoney
UNIQUE HONEY :
SUBHANALLAH ...[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Pleading]
2026-10-27 16:54:17
3
graphaity
fredy :
ayuko peke take jamni
2026-10-28 04:57:52
3
.mwana.ochu
mwana ochu :
😭😭mnamzalilisha so haki wallah nimelia
2026-10-29 08:38:01
1
alisuleiman306
ALI SULEIMAN ALI :
Na hiyo sio njia sahihi kumuadhibu Mzee na kumuweka mtandaoni
2026-10-27 15:54:36
3
suleiman.haji57
Suleiman Haji :
Jaman baba yangu hajaiba
2026-10-28 17:16:59
4
temba_boy0045
chumally🔥🔥🐐🐐 :
uruma siyo malezi 🤣🤣🤣
2026-10-29 10:07:13
2
khamisfereji616
khamisfereji616 :
79 sio kweli
2026-10-28 17:43:53
2
rizikimasoud825
Riziki Masoud :
jamnn ata km nwizi ila so vzri na ww dada unshadadia kwli wa nawak htuna hr
2026-10-28 18:13:53
3
user2797297146008
zeana :
hadi namuonea huruma jamni
2026-10-27 18:16:24
4
hanskhan49
hassan kawanje :
dah astaghfirullah
2026-10-27 14:36:11
3
user226706035982495
user226706035982495 :
najuwa ulitafuta kwa tabu dada agu biashara yako lakin sio vizuri samahn Sana lakin bado tunazaa usifanye hivo tumuombe mungu mwisho mwema ishaallah
2026-10-28 19:55:49
2
shehemussa2
kinowe :
Haya yana mizizi kwenye kukosekana kwa mfumo rasmi wa utoaji wa haki
2026-10-29 06:57:36
2
samirjuma292gmail.com
samirjuma292 :
yangu macho tu
2026-10-28 09:00:38
2
masoud8195
MR.TEDDY🇨🇦 :
2026-10-28 13:56:10
2
punda909
PUNDA OG :
sehem gan ukooh
2026-10-27 15:45:45
3
alisuleiman306
ALI SULEIMAN ALI :
hayo yote amefanya kwa ajili ya wajukuu zake
2026-10-27 15:51:10
3
arafa.juma.jikole
Arafa juma jikole :
duh nashindwa hâta nsemej 😭😭
2026-10-27 17:20:42
3
samira.abdallah0
Samira abdallah :
nchi peke akikamatwa mwizi anapew azabu km mtoto wa miaka 2 wakati wamiaka sita nyumani akikukera anapingwa kipingo cha mwizi
2026-10-28 13:17:35
2
fazafcsll37
fazafadhili#&27 :
wap hii imetokea
2026-10-27 14:02:19
3
mrssak_02
hidden_soul :
🥺🥺
2026-10-27 20:12:01
1
sabra.yahya6
zuhai-laty :
jamani mue na huruma mungemuhukumu musinge tumia hatua ya kumpost sijapenda😏😏😏
2026-10-29 00:34:17
2
To see more videos from user @mactuition, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About