Wewe Mfarisayo sikiliza Soma Mathayo 16 13:18 ambapo Yesu aliwauliza wanafunzi wake akisema watu hunena kuwa mimi ni nani? Petro akajibu akasema wengine husema wewe ni nabii,wengine husema wewe ni Eliya na wengine husema wewe ni nabii wa kale uliyefufuka , Yesu akauliza je ninyi mwasema mimi ni nani? Petro akajibu wewe ndiwe Masihi mwana wa Mungu ,Yesu akamwambia Petro naam hakika Petro si damu na mwili vilivyokufunulia haya bali baba yangu aliye mbinguni ndiye aliyekufunulia haya wewe ndiwe Petro na katika wewe nitalijenga kanisa langu wala Milango ya kuzimu haitalishinda, sasa kumbe Yesu aliuliza tena swali kwa wanafunzi wake kwa sababu majibu ya watu hayakumridhisha bali jibu la Petro ndilo lilomridhisha ndiyo maana akambariki Petro na kumpa ahadi ya kulijenga kanisa lake katika yeye.
2026-10-27 19:08:52
1
Surreg🌸❤️ :
Kheri Mim nimesilimu ❤️😂😂
2026-10-27 13:48:56
9
asiya hamadi :
kaka we unanikoshaga sana na izi video za waaziri
2026-11-03 02:04:57
2
user51924985110666 :
Mashaallh allah akuhifadh shkhe wetuh
2026-11-23 21:15:14
1
AZASAF2 :
Allah Akbar
2026-11-21 12:18:11
0
duli ali :
mashaalah...mazinge
2026-10-28 06:21:16
2
husnandevu :
takbriiiiiiiiiiiiii allah akbar
2026-10-30 12:34:20
2
Hussein Said :
Allah.akibaru
2026-10-28 22:18:50
2
Abdi mohamed :
takbir
2026-10-28 06:03:57
1
I S S A B A R N A B E :
allahu akbar
2026-10-28 11:57:23
1
badnigar3 :
2026-10-27 16:25:30
0
husnandevu :
mazinge nakupenda sn shekhe wetu mungu akupe uhai mlefu ili utuelimishe mamuma
2026-10-30 12:39:22
1
𝑺𝒖𝒎𝒂 𝑺𝒖𝒎𝒎𝒂 🦂 :
𝑨𝒍𝒍𝒂𝒉 𝒂𝒌𝒃𝒂𝒓
2026-10-30 07:16:38
2
Challah :
Allah akbar
2026-11-12 07:09:06
1
Makavely370 :
Allah akbar
2026-10-27 12:23:17
2
KÏNG VØN :
allah.akbar
2026-10-28 11:35:48
1
rams fils twairu :
mungu akupe humri mlefu mzee
2026-11-13 14:46:25
0
Triple A~Lorenzin :
ALLAH HUAKBAR
2026-11-16 13:52:35
0
Mustafa Babyegeya :
elimu inahitajika kumjua mungu siyo kukalilishwa Allah akujalie shekh mazinge
2026-11-21 11:27:27
0
45Texas :
hakuna kam mazinge
2026-11-21 04:23:27
0
baby faa :
allah akbar
2026-11-20 13:49:32
0
mbusa kazimiri ismael :
Allah akbar
2026-11-21 12:59:09
0
Shayma Yusuf :
mazing
2026-10-28 05:27:07
0
To see more videos from user @sulesh_2025, please go to the Tikwm
homepage.