@petronyerere240:

Petro Nyerere
Petro Nyerere
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 12:12:08 GMT
75214
2176
116
95

Music

Download

Comments

kwio_kfc
KWIOO_GSM WATER :
hio njano nn
2026-10-28 04:28:51
4
chaunabe4
CHAUNABE. :
Hiyo dhahabu?
2026-10-28 08:43:25
1
farishady2
loveness♥️ :
mungu walinde madeva wote duniani
2026-10-29 03:18:27
8
freddodismas281
MTOTO WA BIBI⛎ :
duuu road life so powa wakuuu
2026-10-27 15:25:06
4
abdul.makwizi
Abdul Makwizi :
madhala ya kufunga mataili ya kuchonga ndio aya sasa milioni mbili inakupa asala ya mamilioni kumfungia dereva wako taili mpya zambele unaona asala
2026-10-27 20:14:22
6
hamicrashid
kalinga kasala :
hiyo sio kampuni ya kufanya kazi inaeleweka hiyo, matatizo yanaanzia juu mpaka chini
2026-10-28 04:14:30
5
irene.royal4
Laizer Royal kid's 🪖🔥❤️ :
Mimi nilijuwa ni biriyani poleni
2026-10-28 16:01:20
1
faustinsirili
FAUSTINI SIRILI :
mnashanga waliompita , hamjiulizi kwanini walimpita
2026-10-28 20:04:23
2
mkymky58
mkymky84 :
ilaa madereva wa bongo tuna roho mwenzako kapata ajar unashindwa kusmama kujua hali yake daaah tutafika tumechoka snaa
2026-10-28 13:32:41
2
selemani.ugendo.m
Selemani ugendo Mgazajr :
ovarlend johni gart izo sio kampuni zakufanya kazi kabisa
2026-10-29 03:40:54
0
salimuyohanaanthony
salimu yohana (Tanga boy) :
Sasa VP nimwaka gn tarehe ngp ndugu mwandishi?
2026-10-29 03:55:14
1
bakitakihongosi
bakitakihongosi :
Jamani mbona mnatukatisha tamaa tunao tafuta ili tununue gari za mizigo uwiiiii
2026-10-28 16:23:02
1
peter.elija8
Peter Elija :
iyo wap wajina
2026-10-29 09:01:43
0
kunguru562
Solo👑👑 :
sulphur ikiungua moshi wake una gas ya sumu inaitwa sulphur dioxide. ni gas hatari sana kwa mapafu na mazingira daah sogeeni mbali[Crying][Crying]
2026-10-28 15:38:24
4
japhetikalunga
Japheti Kalunga :
kaka hiyo sulphur kaa Mbali Na Huo Moshi, ndo sumu yenyewe hiyo aisee
2026-10-28 17:41:11
3
mbarukuismail
TIGER 🐯 DRUGS :
mm ndio wakwaza kuiona mzee iyo ajali ilikuwa juma tano zambia iyo daaah mungu anisamehe na madereva wenzangu mnisamehe sikuweza tutoa msahada
2026-10-30 10:28:36
1
davidmmbando
David Mmbando :
mngezima kwanza huo moto wa sulphur sababu moshi wake ni hatari sana
2026-10-27 16:57:07
3
agrippahmsusi
wasusi bomba :
hiyo migari ni mibovu ilimuua kaka yangu🥺
2026-10-28 10:04:58
3
madamjaq00
Madam Jaq :
nilishasema madereva WA Tz hawana ushirikiano wazambia wanatushinda kwa kushirikiana sijui Nani ametuliga daah
2026-10-28 13:45:58
1
kabuleisaya
[email protected] :
pole sana
2026-10-28 08:39:15
1
bunguwan
pandu :
salfa ni kwa matumizi Gani wazee, kwanza poleni
2026-10-28 13:36:55
1
zo.mbie937
zo.mbie937 :
nimepishana nayo ubungo Jana hyoooo
2026-10-27 23:07:00
1
masanjamkina1
Masanja mm33 :
bro hiyo nzuri kaa mbali
2026-10-27 22:33:52
1
my.friend5979
MY FRIEND :
OVERLAND hawanaga ushirikiano
2026-10-28 09:18:08
2
chimamy.bibu
Chimamy Bibu :
tarehe mkuu ndio umesahau iwekwenye kumbukumbu ili isijekuleta tena taharuki
2026-10-27 16:04:33
1
To see more videos from user @petronyerere240, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About