@bongofive: Mtoto wa miaka 3 anayeitwa Nevada kutoka Marekani amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kutokea kwa mgogoro kwenye ligi ya watoto aliyokuwa akishiriki. Familia yake inadai kuwa mtoto huyo aliondolewa kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kucheza soka, huku waandaaji wakitoa maelezo tofauti kuhusu kilichotokea uwanjani. Polisi waliitwa, lakini hakuna aliyekamatwa wala kufunguliwa mashtaka. @cathed__
mungu ana kusudio lake Kwa uyu mtoto walichokifanya ni kama wamemuongezea umaarufu tu
2026-10-27 19:32:50
9
Ney Wonder 💫 :
mimi siwahukum Hao waalioona wivu ila nawashukuru wivu wao umekuwa njia ya kumfanya mtoto huyo ajulikane huwenda ilikuwa ni lazima watumike kama kushtaki na kuona wivu ila ni mungu ametaka iwe hivooo na kumpa anachostahili
2026-10-27 20:31:15
3
Trigen_tiger77 :
wangemwitia police Ronaldo
2026-10-27 17:17:16
4
ramsotzm :
asajiliwe man u
2026-10-27 23:02:47
1
midu 26👊 :
sasa kama shida ni kucheza rafu si angetakiwa kutolewa na kocha na sio police
2026-10-27 20:30:16
0
REUBEN B MNGARA :
aliyepewe kapewa tu si unaona sasa kashakua maarufu kabla hata hajakua