mungu mlinde uyu baba na kazi yake malaika wako amuwangaziye kila mahali
2026-10-27 18:26:23
25
msomali :
Big respect kamanda loyality than love
2026-10-28 02:54:42
8
sweed :
afande yuko pw sana uyo
2026-10-28 06:20:58
1
kondeurembo :
yan sikutegemea kama had Sasa ajapandishwa cheo mmmmh
2026-10-27 20:37:04
11
AYOUB A.BIZO :
Namwelewa sana uyo afande
2026-10-28 05:52:08
2
mc ujogolo :
kwa heshima kubwa afante
2026-10-28 06:51:33
1
sirikhale :
AFANDE yuko poa
2026-10-27 19:57:08
5
user6123090229298 :
Tanzania 🤣🤣🤣 bado sanaaa kwa iyo hapo ndio nini labda
2026-10-27 17:13:21
3
Dalali Classic Morogoro :
uyu afande mzungu san
2026-10-28 04:04:04
2
the Great :
Mungu akupe afya zaidi na zaidi
2026-10-28 05:13:53
1
jellystar :
Rock of kitonga
2026-10-28 06:21:01
1
shirimaceline :
wimbo umenifanya nikaangalia had mwisho
2026-10-27 15:55:44
3
Muhangi Rwey :
Mbona kama Afande ana anafanya kaz ya hatari zana
2026-10-27 17:18:05
5
Erick :
hapo unaweza kuona bila huyu traffic kusapoti huyo jamaa angekua anafata pole pole na foleni zingekua ndefu zaidi
2026-10-27 20:44:23
1
Daniel Elia. :
afande kajitowa sana hongera sana.
2026-10-27 20:16:16
2
chuga :
heshima kwake afande
2026-10-27 20:42:08
2
Doreen Willbard :
mungu ambariki sanaaa🥰🥰
2026-10-27 20:56:21
2
chuum💞💞 :
sijui kwanini namkubali tuuuu🥰🥰
2026-10-28 02:09:00
1
wali nazi :
hanaga baya huyu ndio afande police ninaempenda hapa nchini Tanzania ila wengine wote siwapendi ila Marcus nidaima namungu aendelee kumpa umri mrefu namaisha marefu kwaajili ya madereva
2026-10-27 15:57:59
0
santakwazi :
daah huyu mwamba na mimi alinisaidia hivi hivi aisee
2026-10-27 19:36:41
2
beichee :
afande poa Sanaa kwa heshima
2026-10-27 20:38:54
1
Her :
muwe mnamuokotesha ya mafuta
2026-10-27 22:18:31
1
Innocent Massawe :
Huyu kwelikwel ni AFANDE KAMANDA
2026-10-27 15:40:03
3
To see more videos from user @davi_lee_gas_point, please go to the Tikwm
homepage.