Pia wawe wanawaambia watu kuwa kwenye uwekezaji wa hisa kuna watu wamefilisika huko
2026-10-27 16:11:09
3
NYEGINA 100% :
maisha yalivyo ya hovyo unakuta mtu ana mbinu zote za kufanikiwa ila sasa yeye mmmmmh
2026-10-27 15:49:06
3
sejaki the don :
hii ndo point sasa
2026-10-27 13:11:07
2
Genius Johnson 💡 :
Hatuambie asala za Isa alafu sisi wenyewe tutajua chakufanya.. asituambie faida tu.
2026-10-27 15:55:32
1
Denis danieli :
hisa Wana iwekaje
2026-10-27 13:14:42
4
Sele mecha :
kaka usituone wajinga a tuna elimu ya iyo isa
2026-10-27 14:06:02
0
muchut kawela26 :
kabisa
2026-10-27 13:23:53
1
vip_the_swagger :
hisa ni kamali yaani Kuna kupata na kupotea
2026-10-27 16:14:20
0
MODERN VIEW SUNFLOWER OIL.DOM :
may be ,
2026-10-27 17:20:19
0
narrosmohammed :
hio michezo tu
2026-10-27 14:53:24
0
jeco jaki :
wenye elimu ya hisa jamani mtuambie Kun ukweli wwte hapo,,,maan tusije kujichanganyaaa
2026-10-27 14:12:38
0
St.Gisbart :
sina uhakika kama ni kweli
2026-10-27 14:44:24
0
Tumanju. :
huyu nae, najua watu walionunua mashamba 300,000/= kwa hekabsawa na 33 hekari Kwa milioni hiyo 10. mwaka 2019 wakapima kwa kugawana gharama za upimaji na kampuni za upimaji meaning kwamba hawakuweka hela ingine Tena nje ya ile ya kwanza wakagawana viwanja. sasa tukwambie actual price ya kiwanja kimoja Kwa Bei ya Leo? Hata ardhi ni kama hisa tu Kuna maeneo yanapanda Kwa Kasi mengine yanashuka na mengine yanabaki pale pale. sio hisa zote zilipanda. tafuta wataalam wa ardhi kama ni mambo yako ila asiponde.
2026-10-27 17:32:24
0
MulokozyHolela :
nunua kiwanja, hizo HISA uongo mtupu.. inafilisi watu!!
2026-10-27 16:28:16
0
Kelven John :
duu nimejifunza
2026-10-27 14:01:28
0
Majaliwa Shop care tz :
Leo wa 3
2026-10-27 13:55:51
0
Engineer by Nature :
Mbezi beach gani huko kuna viwanja vya 150m?
2026-10-27 16:09:33
0
jo nails@kucha :
nikweli lakini sio kwa bank za Tanzania labda ulaya unaweka m23mtandao unakata ukiludi ni22600000😂😂
2026-10-27 14:50:34
0
Eliya Khisadada :
Hapa, Mh! Changanya na zako
2026-10-27 15:40:13
0
Bila kuchoka :
🫵🫡🫡🫡🤝
2026-10-27 15:03:39
0
Bulldozer Duchu🏍️🚭 :
[Fire][Fire][Fire]
2026-10-27 14:53:54
0
Emma Emmanuel :
[Pray]
2026-10-27 14:00:41
0
babdullah🫀💘 :
💯💯💯
2026-10-27 13:32:43
1
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.