wakenya nyie ni ndugu zetu wa dam hii msikubali 😭😭😭
2026-10-28 05:23:30
434
Ashahy ❤️ D :
nawapenda ndugu jirani zetu
2026-10-28 03:33:58
225
Zuhra Hassan :
free twahamwaipaya
2026-10-28 14:36:34
0
Magesa Juma :
Thank you so much Kenyans... We are buddies after all.
2026-10-28 14:19:46
0
mussa orguyai :
Ahsante sana BUNGE LA WANANCHI
2026-10-27 17:29:22
184
Celine festo😍💋 :
kwahiyo kenya mnamabunge mawili
2026-10-28 06:54:21
42
Kasyele jr :
huu ndio ujirani mwema viva kenya 🇰🇪
2026-10-28 09:39:45
32
Baba D :
hongera sana ndugu zetu✌️
2026-10-28 04:43:03
65
user4457617551969 :
Tunashukuru ndugu zetu
2026-10-28 03:42:58
80
Adam Salala :
Mmeongea vzr lkn kutuita wajinga kwa kuwa hatujui kuhusu katiba mpya mnatukosea. Ninyi Wakenya kupata katiba mpya kumbukeni Rais wetu mstaafu Kikwete alishirini na akina Koffi Anan. Ruto wenu anashiriki ktk utekaji wa wanaharakati wa Tz
2026-10-28 03:36:45
52
Doctor 9684 :
ASANTE SANA WAKENYA 👍
2026-10-28 05:20:35
46
baraka paul B.Q :
huwo ndio ujilani mwema
2026-10-28 05:00:11
40
AMI LAST MAN TZ :
💪💯 hakika wakenya mmenyooka sana na utu ubinadam wa kujitambua wa hali ya juu sana
2026-10-28 09:25:03
13
jason :
Good mameeee
2026-10-28 07:17:51
1
Dora Kibale :
wakenya shikamoo nimewaelewa
2026-10-28 03:43:16
21
wend wendera ❤️ :
free twaha MWAIPAYA
2026-10-28 11:18:15
1
J Queen :
😅😅😅🙌asanten kwa support
2026-10-28 08:52:33
1
Kassim Festo Godiwe :
Tunawapenda sana nyie 😅😅
2026-10-27 17:45:59
42
Lizy adam :
Congo and kenya i love you ❤️❤️🫶
2026-10-28 04:57:25
25
❤️❤️❤️❤️❤️ :
🥰🥰🥰🥰love you Kenya our friends
2026-10-28 04:52:31
16
mamygregory :
Wakenya tusaidieni basi kuandamana
2026-10-28 11:50:37
7
M̶a̶t̶h̶i̶a̶s̶ D̶u̶w̶e̶ 🇹🇿🪢 :
I ❤️kenya 🇰🇪
2026-10-28 09:14:53
9
noahmashon :
wakenya hamjawahi kutuanguasha mimi ata nafikiri kuja kuishi moja kwa moja huku
2026-10-28 08:45:03
9
Philadelphia :
one tam
2026-10-28 06:40:20
21
To see more videos from user @bunge_la_githurai, please go to the Tikwm
homepage.