@historical_zanzibar: Picha kwa hisani ya @Mubarak Al Ghassani. #zanzibar #vintagephoto #historicalzanzibar

Historical Zanzibar
Historical Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 13:21:23 GMT
26006
1203
38
64

Music

Download

Comments

user5944409456873
Rashid :
Huyu ni mzee mitu. Namjuwa vizuri sna ni jarani yetu pale mwenbeladu karibu na msikiti wa biziredi. Alikuwa ana ofisi yake ya watalii pale malindi kwenyenda kwa kidemi. Ana amefariki akiwa ameacha wtt 4. Mabrouk Zarina. Wahida na jussa.
2026-10-28 14:13:23
5
ismail_summar
Ismail Van Persie :
Mr Mitu A legend of Zanzibar tourism May God grant him Paradise Insha'Allah ❤️🤲🏻
2026-10-28 06:41:30
8
hot.bway
Abuobakar Abdallah :
mzee Allah amraham ameniliea alikuwa rafiki yangu mkubwa na nilikuwa rafiki w vijana wengi
2026-10-28 11:12:15
3
_.ibra.junior7
Junior😎 :
Allah ampaze mahala pema babu yang 🙏🏻
2026-10-28 09:39:39
2
user5088764383631
super power :
Huyu mzee Mitu kulikuwa na Mzee Daudi amefanana na yeye
2026-10-28 03:29:53
2
baki75514
Baki :
nimegundua gari za zamani hazikua na site mirror
2026-10-27 19:02:17
2
user9395733271750
........ :
Anastahili kutambuliwa na serikali!
2026-10-27 23:38:37
3
yumma2015
yumma :
mzee mitu alianza na taxi maskin mwisho akaja na tour dah
2026-10-28 20:51:56
0
east.africa.quali
East Africa Quality chicken fa :
Amin kwa nani uyo
2026-10-27 16:40:53
1
makata90s
🅜🅐🅚🅐🅣🅐➒⓿🅢 :
Allahuma Amin 🤲
2026-10-28 13:11:39
1
popsmork2
young🗨 :
kuna watu at hawamjui kwakua wameona mitu ndo mitu asa uyo mzee anaitwa mzee mitu alkua na texs yake iyo apo alie ismama kusem la ukwel me mwenyw si mjui ndo namuon hapa
2026-10-28 07:00:44
1
suleiman_002
SM🇹🇿 :
Mzee Mitus
2026-10-27 17:47:47
2
unseen_655
Genius :
Mitus spice tour
2026-10-27 19:18:45
2
suleimanasaa
Suleiman Asaa :
hayupo tena kashakufa dunia mapito
2026-10-28 09:40:17
0
user3858341958188
Prince ANS :
amin
2026-10-28 11:30:38
0
mbandaz6
M bandaz 69 :
Ba Mitu
2026-10-27 23:16:43
1
olphby
Ďolphîñ*bõy💫 :
2026-10-28 13:07:38
0
the_king_0f_fly
Hatan Zp Star 55555 :
Amin
2026-10-27 17:49:54
0
salman_znz
salman_znz :
nahapo ni paje au km sijakosea ni jambiani hiyoooo 😃😃😃
2026-10-27 23:50:26
0
salummohd8
salummohd8 :
mzee mitu
2026-10-27 17:53:40
0
cute63894
Cute_nally :
Ameen
2026-10-28 22:58:17
0
salman_znz
salman_znz :
babu yangu 😃😃😃 mzee daudi
2026-10-27 23:45:48
0
akley57
Akley :
ameen
2026-10-27 19:53:43
0
saifsaify20
saifsaify20 :
Ameen
2026-10-27 14:07:16
1
mustafa.ismail18
Mustafa Ismail :
Hiyo ndo zanziba enzi na enzi.mjiga gani aloyuondosheya utambulisho wetu
2026-10-28 06:09:43
0
To see more videos from user @historical_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About