@warox_og: JWTZ wafanya mazoezi ya utayari ambapo Mkuu wa Majeshi alipita kukagua pia wakiwa tayari kwa ajili ya majukumu ya kulinda amani kwa Majirani wa Tanzania ikiwemo Congo na Afrika ya Kati.#tiktokviral #reels #tanzania🇹🇿 #foryou #viral

warox updates
warox updates
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 13:29:16 GMT
8708
226
18
14

Music

Download

Comments

kabacelo
Kabacelo🤑🤬🤑 :
trampu asione jamani
2026-10-27 19:04:00
0
user9258599599224
Emanuel Nicholas :
hili ni jeshi la ccm sio la wananchi
2026-10-27 18:29:03
2
dionizi.mahendeka
Dionizi Mahendeka :
mm siataki waniliindee
2026-10-27 19:07:53
2
user2436296581616
jumaa :
Jambo jema pongezi kwenu makamanda
2026-10-27 16:15:06
1
trezzly2025
Trezzly :
mnatakiwa kuikomboa Nchi dhidi ya CCM,
2026-10-27 16:43:41
1
altah_films
ALTAH FILMS :
jesh au kikosi cha wauni walikua wap oct 29
2026-10-27 17:16:37
1
aziz.mkumbo
azizmkumbo :
mpo vizuri makamanda 😄😄😄
2026-10-27 19:38:25
0
the.hague1
The Hague :
mkuu wa majeshi wa kwanza AmBAR hatoacha legacy Wala hatoheshimiwa
2026-10-27 18:22:36
0
naila573
Naila :
Taifa letu Wameshindwa kulinda labda tuwauze tu😂
2026-10-27 21:41:36
0
user8819597182194
user8819597182194 :
safi sana ila..... kwanini kagame msumbufu sana
2026-10-27 16:56:23
1
the.hague1
The Hague :
huyu muhuni hafai Kua KIONGOZI wa jeshi
2026-10-27 18:21:39
1
kwio_kfc
KWIOO_GSM WATER :
Kuna zahabu uku tz [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-27 20:20:26
0
kwio_kfc
KWIOO_GSM WATER :
putini uko wap[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-27 20:20:10
0
user9042325267433
yuzzz :
cheezeni tu baadae oohhoo
2026-10-27 19:27:02
0
user4703441420441
alice :
mnawasaidia wa nani??? na uku watu wanatekwa na kuuwawa amjari
2026-10-27 18:42:47
0
prophet.godyfire
PROPHET GODY🔥🔥🔥FIRE :
apo kwenye mataifa mengine toeni amuwez bhana
2026-10-27 18:39:32
0
user4601019760227
RASHIDY Mahigula :
moja limeanguk nyumban baad ya kulipuk ety linatoa mosh 😂
2026-10-27 20:31:43
0
To see more videos from user @warox_og, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About