@qalby497: #fullmoon #iphone18promax #spirituality #moonenergy

Qalby❤️
Qalby❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 13:44:53 GMT
19688
695
87
310

Music

Download

Comments

graceresp
G :
Haswa mashangazi 🥺
2026-10-27 17:38:09
16
mm883012
Momo88 :
mmmh ndugu ndugu jmn kuna muda unasema bora usingezaliwa katika huo ukoo
2026-10-27 19:34:47
9
aziza.abby2
Aziza Abby :
nilikua na mtot wa kike akiwa na miak 3 baba ake alibaatika kuoa mwanamke mwingin na uyo mwanamk alieoa alikua anatoka eda ya kufiwa na mumew mwanang alikua anashinda kw bib ake mzaa baba usik nikiwa natoka kazn namchkua nakulala kwangu bas siku moja katik kuchez chez mwanang akasukumwa kisimani na mtot wa baba ake ambae alimkuta na uyo mwanamk bhn bahat tu mtu anaend kuteka maji anamkuta akamuokoa lakn alikua tayar ameshakunywa maji na kuchoka baa allh akasaidia mtot nikamkuta nikapiga sm kw mjomb guys sikuwai kua na roh ngum ila kw hili nitalilipia kw mda wowote ule ten kipind ambach atakua na furaha nd natak nimletee huzuni ambayo haitoisha
2026-10-27 17:27:25
21
zammy_tee
zammy Tee :
Mwanangu anapat tabu ndugu wabay san yan nahangaika kila Kona ugonjwa hauonekan
2026-10-30 18:56:17
1
usermanamba
568299 :
Mungu kweli awalinde sana watoto wetu.....Juzi kuna mtoto wa jirani alikuja akamwambia Binti yangu Ambae wanalingana nae kwamba ampe viatu vyovyote vya kaka Zake,binti yangu hakutilia mkazo,akaja akaniambia mama flani kaniambie nimpe viatu vyovyote vya kaka flani au kaka flani....ukweli nilishtuka sana,anataka viatu vya Nini Yesu wangu nimekukabidhi wewe familia yangu.Naomba Ulinzi wako Kwa watoto wangu Ee mama Bikira Maria
2026-10-27 18:49:42
5
aishachopa_cute
Aishachopa_collection :
Bint yang aliumwa kichwa ata sijui kiliazia wapi niliangaika hospital nyingi nilikua nalia usiku alali ana lia asubui akienda shule ana lia kichwa paka akaaza kutoka damu za pua ila 😭😭😭ule mwaka sito kuja kusaau binadamu wabaya sana
2026-10-27 22:43:36
3
s.h.a.m.m.i.e
꧁༺ 𝓈𝒽𝒶𝓂𝓂𝓎𝒷𝒶𝒸𝓀𝓊𝓅 ༻꧂ :
Mmmh hii dunia iko na mambo mengiii mnooo inatishaaa
2026-10-27 14:20:37
4
mrskasijao3
mrs Aboubakar :
Sijui niseme au ngoja ninyamaze tu ila Mungu anajua yaliyopo moyoni mwangu
2026-10-27 18:31:53
3
user9546102069923
zulpha mohamedy :
kumbe unakuta unaangaika na maisha kumbe baadhi ya ndugu wamekumaliza tangu utotoni
2026-10-28 19:00:53
3
lauryn.shayo
Lauryn Shayo :
No weapon formed against my children and my family shall prosper in the mighty name of Jesus 🙏🙏🙏
2026-10-28 04:42:22
4
catherahma
catherahma :
Mungu Wangu Nilindie bint Yangu🙏🙏
2026-10-28 16:52:05
3
fahfaris03
It’s Mona ❣️🌹 :
Mungu anashuhudia mengi, Yarab tulindie ulivyotujaalia
2026-10-28 09:03:23
3
cellinah34
Cellinah :
Daaah jmn 😭
2026-10-27 14:58:57
1
lambada4207
Aim baby Mom omani🇧🇬 :
Mungu naomba Linda watotowangu🙏
2026-11-01 18:34:57
1
yusrathy1
yusrathy1 :
binadamu wabaya sana mimi mwanangu acha tuu mungu aitwe mungu [Crying][Crying]
2026-10-28 06:26:48
2
gracengoto1
Grace Ngoto :
jamani
2026-10-28 14:02:11
1
aziza.abby2
Aziza Abby :
niongee kw kusimama au kw kukaa ili nieleweke vzl kabs
2026-10-27 16:24:43
1
user3915079758042
dyumamaryam :
hujakosea ni kweli
2026-10-28 12:18:58
1
chamababy50
chama bby🥰 :
usikute nmefanyiwa hivi nikichwa gani hakiponi jamni
2026-10-28 14:23:20
1
gyaljolie
Gyal🌼🦋 :
Duuuh
2026-10-28 07:03:46
1
edinajahilo
Edina Jahilo :
MUNGU NAKUOMBA NILINDIE WANANGU
2026-10-28 21:31:17
1
arafajoseph
arafa sweet cake :
walah nimeogopa😒
2026-10-28 11:51:16
2
fettyabbdul
Fetty 789❤️ :
2026-10-27 16:40:14
1
user612523350
Annycute :
naogopaaa snaa ila tuombee watoto wetuu jaman
2026-10-28 15:15:37
1
To see more videos from user @qalby497, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About