@sabato.funny: Unataka shingapi😁😁😁🙌 #sabatopeter

SABATO FUNNY
SABATO FUNNY
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 13:50:35 GMT
108683
4915
286
48

Music

Download

Comments

claudia.kayaya
Claudia Kayaya :
mimi mwenyewe nahasira[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-27 16:11:46
0
user7315665991824
Alifa :
Eheeeee
2026-10-27 16:37:43
0
moveon.dp
Moveon99 :
Pata hela lakin usipige nayo picha
2026-10-27 15:56:15
32
kevinimtatir777261
kelvinimtatiro famry :
hapa kuna mambo haya
2026-10-27 16:38:35
8
rahmaomary626
rahma omary :
duuuuuhhh ila Aya maish at tuki post pes umauti utatufik tuu kikubwa ni Ibada tuu na uzm km upoo nd Kil ch muhim hat km pes ni gumu kitafut ila mukumbuke Allah kwanz 🤲🤲🙏🙏
2026-10-27 14:26:54
25
jemimamawazo
jemimamawazo :
mbinguni tutajua ukweri2
2026-10-27 14:52:53
13
d_brand82
Dee_brandy!!? :
we utajua mwenyewe
2026-10-27 15:32:47
5
emmanuelwafula367
⚫️ black :
Utapata hio thao nane ya kenya😅😅
2026-10-27 15:04:00
9
hesha829
hesha :
Ata alikufa na ndege yeye na mke wake ameziacha pesa zote so dunia tunapita tu cha Muhimu mwisho mwema Ameni 🥹🙏
2026-10-27 15:50:36
9
aishapetronilla
عائشة 23 :
niliskia mtu akisema mbinguni tutajua kila kitu😂
2026-10-27 15:59:45
1
ranking.jnr01
Ranking jnr :
saa izo kenya zote ni 10k😂😂
2026-10-27 15:47:58
1
gumusi3
Gumusi :
Unaazima hela kupga nazo pichaaaa ,,😂😂😂😂😂
2026-10-27 16:49:30
2
dhahabu55555
dhahabu55555 :
hapo kuna mambo✌
2026-10-27 15:51:32
3
yuzzotz07
YUZZOTZ :
oa bro naomba elfu tano tu
2026-10-27 15:30:33
2
user8211615407347
mayna :
jaman haya maisha apa kuna mtu anawaza atapata 2000 wap ya kula na wanae
2026-10-27 15:50:19
2
chris.joel200
Chris Joel :
we mchawi sabato😁
2026-10-27 15:32:50
2
rehemaassenga40
Rey🥰🥰 :
mjee mama sabato kwishaaa
2026-10-27 15:27:42
3
stevenagesa
@ Survivor S💕💕 :
hiyo ni 50bob za kenya
2026-10-27 15:28:40
2
godfreypeter298
G matelephone 🚭 :
Uhakika 💯
2026-10-27 16:00:42
1
maiyo.254
🇰🇪 MAIYO 🇰🇪 :
hii yote ni thao 5 ya Kenya 😂😂🤣
2026-10-27 15:49:42
3
novahmassawe757
Novah Massawe :
Hy ni yangu na honga Dem anguu tuu
2026-10-27 15:55:03
2
nananasma5
Nana❣️🥰😘 :
namb ata buk2 mzee
2026-10-27 14:04:38
3
user2742238843334
JAY_MOO :
Kaka tuko teyar na ss kulala na nyoka cha msingi kaka tuambie tu kama haing'ati... bro
2026-10-27 15:52:30
2
mazo_248
Mazo_24 :
lakin tano broo itanitosha nilipoe ada chuo
2026-10-27 15:20:09
2
bagala.one
bagala One :
sawa bana baada yakutoka huku, siuzigeuze za kenya tuone😂😂😅
2026-10-27 15:44:15
2
To see more videos from user @sabato.funny, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About