@mkerewemedia: Mama Mmoja aliyefahamika kwa Jina la Kefrine Mhande Mkazi wa Kata ya Nyamalimbe , Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani humo amejifungua watoto Mapacha wanne Usiku Oktoba 22 , 2026. Akizungumza na wanahabari Leo Oktoba 27 , 2026 katika Hospitali ya Manispaa ya Geita , Bi. Kefrine amesema alifika Katika Hospitali ya hiyo siku ya Alhamisi ambapo alijifungua watoto hao Mapacha wakike wawili na wakiume wawili. "Nilifika siku ya Alhamisi Mida ya Saa mbili nusu lakini namshukuru Mungu mida ya saa tatu nikawa nimejifungua , nimejifungua watoto wanne wakiume wawili na wakike wawili nilijifungua kwa njia ya kawaida , " Mzazi Kefrine. Kwa upande wake Mme wa Kefrine aliyefahamika kwa Jina la Zengo Lutego Mkazi wa Nyamalimbe ameiomba serikali na wadau kwa ujumla kumpatia sapoti ya kuwalea watoto hao ikiwemo Maziwa kwa ajili ya watoto pamoja na Bima za afya zitakazosaidia kiwalea watoto hao ili kuepukana na Gharama. Daktari kutoka Hospitali ya Manispaa ya Geita , Bi. Caroline Muya amesema upatikanaji wa watoto hao mapacha unaendana na Utoaji wa huduma nzuri waliyoipata huku akiahidi kuwapatia huduma nzuri kwa kipindi chote ambacho watakuwa hapo Hospitalini.
mkerewe media
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 14:10:16 GMT
Music
Download
Comments
Maisha Bihwehwe :
wa4 alafu bila ata upasuaji, mmh ee huo ndo mlango wauzazi sasa,,
mungu akubaliki asee dada❤️🙌
2026-10-27 16:22:31
219
Nana Qut :
najiunganisha na hii baraka
2026-10-27 17:44:18
245
christinambobo :
Namimi naomba mungu anipe nawatafuta mungu akubariki ongera
2026-10-28 02:29:22
0
mellisa :
Mungu nikumbuke na mimi jaman😢😢😢
2026-10-27 15:21:31
203
Vallentina Thomas :
hongera sana Mungu akukuzie
2026-10-28 04:03:34
0
user3184227876285 :
naomba baraka hii inifikie baba niache kuzalilika kwenye ndoa yangu
2026-10-28 03:15:58
13
zulpha-twaha :
hongera sana
2026-10-28 06:58:15
0
naomy💞💞 :
si mujiunganishe na hiz Baraka au hamutaki
2026-10-27 18:50:42
33
Sophie store🛍️ :
Hongereni hadi mmevaa sare 🥰
2026-10-27 17:16:31
13
myra :
Eeeeh mwenyezi mungu walinde hawa watoto wakue vyema
2026-10-27 16:40:13
29
neemaryobanchia :
Hongera
2026-10-28 07:59:20
0
RAY TZ :
mungu mim naomba wawili to
2026-10-27 16:31:18
26
jaileyminnley :
hongera sana wazazi mungu awalindie watoto wenu
2026-10-27 15:36:05
49
official dady :
mungu akiamua kukupa hakutumii barua 🙏🙏🙏
2026-10-27 15:32:54
27
Odo Cakes🍰 :
Hongera sana mungu akukuzie
2026-10-28 06:23:44
0
0782 108611 :
Mungu naomba nikumbuke na mimi maana sina hata mmojaaa, Mungu naomba ufungue kizazi changu, naomba nibariki na mimi nipakate wakwangu😭😭😭🙏🙏🙏
2026-10-27 17:20:43
33
Mam E :
hongera sana kwa njia yakawaida
2026-10-27 17:28:42
7
momy nurdin🦚🦚🦚 :
eee mungu naomba naomba na mimi nijifungue hao mapacha 🙏🙏🙏
2026-10-27 16:35:35
7
samirous :
dada ana skin nzuri
2026-10-27 18:27:10
7
💗my love ♥️♥️♥️ :
hongera sana dada mungu atutangulie ww na wanao
2026-10-27 17:34:30
7
mr,s j :
mungu awape afya njema wakue katika njia ya bwan
2026-10-27 16:56:08
12
user119708520056 :
mungu nikumbuke na Mim
2026-10-27 15:38:33
10
Fumbuka Shangwe :
Mungu ni mwema wakati wote
2026-10-27 16:02:13
7
Frazzy🥰 :
Eeeeh mungu nipe na mimi hawa🙏
2026-10-27 15:37:00
5
MS GGG :
Mungu na Mimi nipatiye 🙏🙏🙏
2026-10-28 03:41:01
0
To see more videos from user @mkerewemedia, please go to the Tikwm
homepage.