nipo darasa la3 hata cjui mapenz nn saiv nimepigwa matukio had siyo pwa😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-27 18:49:45
29
Meshaki Kabuje,@chabe boy :
hii ndio couple inayo nimotivate nioe 😄
2026-10-27 16:19:01
47
macho@ :
hii ndo couple ninayo itafuta lakini hadi leo sija ipata
2026-10-27 17:17:35
44
🌹✨💫 𝕞𝕪 𝕙𝕒𝕓𝕚𝕥𝕪 💫✨🌹 :
2013 niko form two dah
2026-10-27 17:30:30
17
M Shackson :
hii ndo best couple
2026-10-27 21:10:21
0
WolfDogg97 :
Best Couple Ever🥰
2026-10-27 21:17:58
0
Nicodemus John :
Hawa wakinishauri kweny ndoa naweza kubari
2026-10-27 17:37:47
13
lee :
the 2015-2018 era
these guys.....made a mark in the industry
2026-10-27 17:19:42
13
Zulhalym💜🥀Virgo Girl♍️ :
Fav couple ♥️🥰
2026-10-27 19:46:46
0
eufracia :
kujitambua na kujielewa kwny mapenz matokeo yake ndo Hy ad raha
2026-10-27 17:29:46
19
Jep Tonnie :
Funguen kipindi kinaitwa hakuna kuachana
2026-10-27 20:03:08
7
calm girl :
miaka 13 kwenye mahusiano sio mchezo, Mungu azidi kuwasimamia; kipengere ni huku mimi na huyu kipara wangu ndo kwanza miaka 3 napumlia masikio sio pua tena stress kwa kwenda mbele 🥴🥴🥺🥺
2026-10-27 18:06:37
9
Mauya Jr :
Wameanza Relation Tangu 2008
2026-10-27 18:27:34
6
Mathew😎 :
kumbe wamenizidi miaka miwili na jambazi langu🤣🤣🤣
2026-10-27 16:43:55
16
@naama the D :
natamani nipate mke Kam hyu
2026-10-27 16:28:04
7
Lizzy🦋❤️🔐 :
Usikute hata neno tuachane hawalijui 🥰🥰.........Love is sweet
2026-10-27 21:03:30
1
teddy bear🧸💦 :
Hawa ni kama Rihanna na Asap rock🥰🥰
2026-10-27 20:40:46
4
Angel😇❤️ :
ivi ni watanzania😂
2026-10-27 20:49:59
0
MANAGER ARDHI MTAJI :
😂au ni ndugu
2026-10-27 20:01:05
4
To see more videos from user @official.mr..bubb, please go to the Tikwm
homepage.