@selphix_media1: Wanafunzi 8 waliohitimu Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Aboud Jumbe iliyopo Kata ya Mji Mwema Wilayani Kigamboni Jijini Dar es salaam wamewaomba radhi Wazazi, Walezi, Walimu, Wadau wa Elimu, Viongozi na Watanzania kufuatia picha mjongeo iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha wakitoa lugha zisizofaa. Wanafunzi hao wameomba msamaha huo leo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya ambaye ameitisha kikao katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni kikiwahusisha Wanafunzi hao, Wazazi/Walezi na Maafisa mbalimbali wa Serikali. Wanafunzi hao wamesema ni shetani tu aliwapitia na furaha ya kuhitimu masomo iliwazidi hadi kujikuta wanafanya matendo yasiyofaa na wameahidi hawatorudia tena. Kwa upande wake Mheshimiwa @dalmiamikaya amewasihi Wazazi, Walezi na Walimu kuungana pamoja katika kuhakikisha wanafuatilia mienendo ya Watoto wawapo shule na majumbani ili kudhibiti vitendo vya hovyo huku akiwapiga marufuku Wanafunzi hao kutorudia kufanya mambo kama hayo na kwamba wamesamehewa na hawatapewa adhabu yoyote. Selphix Media Powered by; @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #dodoma #tiktokviral #tiktoktrending

selphix_media
selphix_media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 15:32:48 GMT
39605
835
53
17

Music

Download

Comments

maua4936
maua :
Mitandao haisahau ma HR tushawakariri
2026-10-28 09:28:49
3
moonlight.diary25
Moonlight diary💕 :
ningependa mnisamehe😁
2026-10-28 07:21:02
3
zackylicious
chic :
ila watoto jmn anaweza kukufedhehesha mpk ushangae
2026-10-28 08:16:37
2
ashurah691
Ashurah :
Wamezalilisha shule yetu iwefundisho
2026-10-28 08:47:38
2
hassan.mwakingwe5
Hassan Mwakingwe :
sio awa wengini
2026-10-28 09:23:04
2
tauhida2696
@idah2696 :
me si wqsameh mana mume wangu tangu aone hiyo clip hatak kuingia ndan anaogopa ntamfungia😂
2026-10-28 09:26:39
2
mussaamiry316
Muuu tz☠️ :
asa video tunaz mnawaficha nin
2026-10-28 09:41:06
2
victormpunzamp1
Kırlangıç 🩺 :
mm sioni umuhimu
2026-10-28 04:42:36
3
fatuma.mtauni31
Fatuma Mtauni :
hakun msamah hap
2026-10-28 03:27:23
4
danieledgar7312
Apostle DANIEL E. Timothy :
Walimu na Wazazi wote wapewe ADHABU KALI SANA ili liwe fundisho kwa wengine
2026-10-28 07:49:42
0
nengo.26
Name less⚓ :
Tumeambiwa tujiajiri . msiwatishe sana madogo
2026-10-28 02:51:38
4
three60othman
ThENo1BOT :
Hapo kuna mambo haya✌️
2026-10-27 18:04:15
4
busengwashiwa
Buseng'wa Shiwa :
me ngefut matokeo yao kabisa
2026-10-27 20:26:37
2
penci.lule
penci lule@ :
waeende chuoo cha mafunzoo na wawooo iwee fundishoo n wengine japo miez6 6 inatoshaaa
2026-10-28 07:43:37
0
anitha.memba
Anitha Memba :
Mbona kwenye ile clip yao walikua wamenyoosha maelezo inakuaje saiz sauti na maelezo haviendani
2026-10-28 10:27:16
0
kevoo266
rich iron🪴 :
mbn amjamkosea mtu???
2026-10-28 08:08:12
0
abdi77198
Abdi7 :
daah hat kujielez nishida kwao
2026-10-28 06:59:01
0
user3790175067835
user3790175067835 :
shida hata wasingefanya hiyvo.bado hajira hakuna mkuu wapo wariotanguria tunao mitaani.hau nawao warifanya hiyvo?
2026-10-27 18:38:16
1
anitahndunguru
𝗔𝗡𝗜🍌 :
amjakosea bana 😂😂😂
2026-10-28 09:47:06
1
mmangahd
Mobi :
La Kwaza Wafutiwe matokeo waende Wakanunua mitiani
2026-10-27 20:13:02
3
amarahchaleo
Amarah Chaleo :
😂😂😂me nacheka2 kwanz
2026-10-28 08:41:29
1
usr355126
Asher joshua :
mm nilikuwa naomba wakakae ata wiki 2 to maabusu
2026-10-28 08:29:52
1
kichunana5
Kichunanah🥀 :
Alafu ni wanafiki hawa hawapo serious mi Siwezi kuwasamehe wamenikera sana😒😒
2026-10-27 23:47:23
1
therealdee60
@therealdee... :
nyie si tuliwaambia tumewasamee ila tuna wakatia den la taifa kidogo
2026-10-27 21:05:01
2
user6735066001110
anita :
huyu ndio yule mwenye mdomo mkubwa 🥰
2026-10-27 19:40:08
2
To see more videos from user @selphix_media1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About