@revocatus300: Wanawake wengi hudhani kuwa wakimaliza hedhi, kazi imeisha... kumbe siku zinazofuata zinaweza kuwa muhimu katika kufuatilia siku za uzazi!❤️ 📌 Zingatia mabadiliko haya mwilini: ✅ Ute wa uzazi: Unaweza kuwa mwingi, mwepesi na wenye kunyooshika kama ute wa yai bichi kadiri siku za ovulation zinavyokaribia. ✅ Mabadiliko ya hisia (mood): Baadhi ya wanawake huona mabadiliko ya hisia au hamu ya tendo kutokana na mabadiliko ya homoni. ✅ Mabadiliko ya mwili: Unaweza kuona mabadiliko ya ute au kuhisi maumivu madogo upande mmoja wa tumbo wakati wa ovulation. Mama, fahamu kuwa si kila mwanamke atapata dalili hizi kwa namna ileile, na kutokuwepo kwa ute unaoonekana pekee hakumaanishi kwamba yai halitoki. ⚠️ Ikiwa unatafuta ujauzito lakini hupati, hedhi zako hazina mpangilio au una wasiwasi kuhusu ovulation, ni muhimu kupata ushauri wa kitaalamu na uchunguzi unaofaa. Usihitimishe tatizo kwa kutegemea dalili pekee. Kwa msaada zaidi na tiba 0621510515