@dr.issambashu: "Hii utakuwa nini?" ni swali ambalo linajirudia mno. Daktari wako anahitaji maelezo zaidi kutoa huduma ya uhakika. #drmbashu #drissambashu #tubemedicalclinic #tanzaniahealth #shifaapanafricanhospital
Siku hizi hamchukui history wala hamfanyi physical examination. Mnafanya kazi kama bank tellers. Mnasikiliza maneno machache ya mgonjwa, hamfanyi probing, hakuna ile IPPA (inspection, palpation, percussion, auscultation). Mnabonyeza tu computer, mnamtuma mgonjwa lab au radiology, akirudi ni ama mnamwambia hamna kitu au mnamwandikia dawa. Mtu anaweza kwenda hospitali na kutumia 2 hours au zaidi na kurudi nyumbani bila kuguswa POPOTE na daktari! Sana sana ataguswa na nesi atakayempima BP au phlebotomist atakayechukua blood sample! Udaktari mpya huu wa Gen Z. Sawa bwana😇
2026-10-27 16:36:08
1
tabibu wa mchongo :
alaf wanatakaga majib ya chap , ukianza kumhoj sana anakuona hujui🤣
2026-10-27 16:13:40
3
Shamy :
❤️
2026-10-28 06:17:07
0
🇹🇿 KIBITANYI™ :
🙏🙏🙏🙏
2026-10-27 16:40:39
0
To see more videos from user @dr.issambashu, please go to the Tikwm
homepage.