@ayubidxv6jm: Teri Meri 🫠🤌 . . . . . . .#bollywoodsong #fpy #virale #songcover #indie

𝑺𝒉𝒂𝒌𝒊𝒃𝒂 ♫ 🖤
𝑺𝒉𝒂𝒌𝒊𝒃𝒂 ♫ 🖤
Open In TikTok:
Region: PK
Tuesday 27 October 2026 16:10:30 GMT
2401
143
22
6

Music

Download

Comments

mr..n313
♡𝑹𝒐𝒉𝒂𝒍𝒍𝒂𝒉 𝑵𝒆𝒌𝒑𝒂♡ :
عالی❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-27 16:42:24
1
ahmad.vali1
Ahmad vali :
ماشاالله دختر اته 🥰❤️
2026-10-27 17:15:52
1
mohammad.naiem.az
Mohammad naiem Azizi :
خوبش شاهدخت ♥️
2026-11-06 10:07:42
0
sanam95773
sanam🖤🍁 :
جونن🫀🌸🙃
2026-10-27 16:43:52
1
kunduzi__gak
𓆩˚•𝐇𝐔𝐒𝐄𝐘İ𝐍•˚𓆪 :
چی یک صدای 🥺❤‍🩹
2026-11-05 18:23:11
0
pashtana1
🎀ــ🦢🤍ــ𝐏ᵃˢʰᵗᵃⁿᵃ🎀 :
یک آهنگ پشتو بخوان خوهر گلم🥰
2026-11-02 19:20:12
1
ayubidxv6jm
𝑺𝒉𝒂𝒌𝒊𝒃𝒂 ♫ 🖤 :
#foryou
2026-10-27 17:17:16
0
faroz8791gmail.como
Faroz Khan👑 :
nice❤
2026-10-31 19:00:53
0
sanamnazari555
Showqi :
good😊😊😊😊🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-29 11:05:09
0
nemat9270
𝓝𝓔𝓜𝓐𝓣 :
2026-10-30 00:06:58
1
mr..n313
♡𝑹𝒐𝒉𝒂𝒍𝒍𝒂𝒉 𝑵𝒆𝒌𝒑𝒂♡ :
❤️❤️❤️
2026-10-27 16:42:23
1
mahdi.mozafari55
Mahdi Mozafari :
🥰🥰🥰
2026-10-27 16:35:10
1
arman.moradi0
Arman Moradi :
🥰🥰
2026-10-27 16:43:05
1
milad.khan45
Milad Khan :
❤️❤️❤️
2026-11-02 21:45:47
0
fanm816
𓂃🌙✨ ✦ 𝓜𝓪𝓱 𝓡𝓸𝓴𝓱 ✦ ✨ :
🥰🥰🥰
2026-11-05 05:40:27
0
sherzaman1072
💔SherZanan😔 :
🥰🥰🥰
2026-11-08 06:45:14
0
To see more videos from user @ayubidxv6jm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Dereva Mohamedi Ramadhani, maarufu kwa jina la Mkong'oto, ameitaka Serikali kuangalia kwa upana vyanzo vya ajali za barabarani nchini, akisema si sahihi kuelekeza lawama zote kwa madereva wa malori na mabasi bila kuzingatia changamoto za miundombinu na makosa yanayofanywa na watumiaji wengine wa barabara. Ramadhani amesema baadhi ya ajali zinazotokea barabarani husababishwa na hali mbaya ya miundombinu, hususan uwepo wa mashimo ambayo huwalazimu madereva kufanya maamuzi ya ghafla ili kuyaepuka, hali inayoweza kusababisha magari kugongana au kutoka nje ya barabara. Akitoa mfano, amesema kuna shimo kubwa lililopo eneo la Taifa ambalo kwa mujibu wake limekaa kwa takribani miezi mitatu bila kufanyiwa matengenezo, licha ya kuwa tishio kwa usalama wa watumiaji wa barabara. Amesema hivi karibuni alishuhudia shimo hilo likikaribia kusababisha ajali, akieleza kuwa dereva anapolazimika kulikwepa na kusababisha gari jingine kugonga gari lililo mbele yake, mara nyingi lawama huishia kuelekezwa kwa dereva badala ya kuangalia chanzo cha tatizo. Amehoji kuwa mamlaka zinazohusika na matengenezo ya barabara zinapaswa kuwajibika pale miundombinu inapokuwa chanzo cha ajali, akisisitiza kuwa ajali hizo zinaweza kuzuilika iwapo mashimo yatatengenezwa kwa wakati. Aidha, Ramadhani amesema Serikali imekuwa ikichukua hatua za kutoa mafunzo kwa madereva, jambo ambalo amelipongeza, lakini akasisitiza kuwa mafunzo hayo pekee hayawezi kumaliza ajali iwapo watumiaji wengine wa barabara hawatazingatia sheria na kanuni za usalama. Amesema madereva wa malori na mabasi wanapomaliza mafunzo yao na kuingia barabarani hukutana na changamoto zinazotokana na baadhi ya watumiaji wengine kutokuwa na nidhamu na umakini katika matumizi ya barabara. Ametolea mfano wa baadhi ya waendesha pikipiki na bajaji ambao amesema hawana leseni au hawazingatii ipasavyo taratibu za usalama barabarani, hali inayoweza kuhatarisha maisha ya madereva na abiria. Ameshauri kuwepo kwa mfumo madhubuti wa usajili na utambuzi wa waendesha pikipiki za biashara, ili kuhakikisha wanaendesha vyombo hivyo baada ya kupata mafunzo yanayotakiwa na kutimiza masharti ya kisheria. #chawamata_tv#habarileoupdates #tanzaniaweddings #breakthroughloveteam #chawamata_tv #breakingbad #breakingnewsph #TzUpdates #newspapershoot #newspapers #newspapershirt #newspaperstand #breakingnewstz #tznewspapers #tznews #jamievardy

🍲The Perfect Beef Broth Recipe for a Family Reunion (Scene: Jesus sitting at a long, rustic wooden table filled with aiful feast) A true miracle of food multiplication that happens every Sunday--when we cook for our family with love. Follow these steps to get a clear, transparent broth full of
🍲The Perfect Beef Broth Recipe for a Family Reunion (Scene: Jesus sitting at a long, rustic wooden table filled with aiful feast) A true miracle of food multiplication that happens every Sunday--when we cook for our family with love. Follow these steps to get a clear, transparent broth full of "homecooked flavor." 🥩Nutritious Broth Ingredients 1.5 kg fresh beef (at the butcher, get a bone-in beef shank for rich texture; and a bone- rib for flavor). 1 large white onion, whole. 1 large head of garlic, washed and halved lengthwise (with skin on). 3 ears of corn, husked,, and cut into thick segments. 4 large carrots, peeled and cut into medium chunks. 4 white potatoes, washed and quartered. 3 young zucchinis, cut into rounds. 1/4 head of cabbage, cut into large chunks. 1 large handful of fresh cilantro, washed. Coarse salt, to taste. 🧑‍🍳Detailed InstructionsStep 1: Clean the meat: In your largest pot, add all the beef, the whole onion, the halved head of garlic, and a large handful of coarse salt. Cover plenty of water (about 4 to 5 liters). Step 2: The secret to clarity: Bring to a boil over high heat. Pay close attention: as it starts boil, a layer of dark, gray foam will rise to the surface. Repeatedly skim off and discard this foam with a spoon. This is the key secret to keeping the broth clear and free off-flavors. Step 3: Slow simmer: Once the broth stops foaming, turn the heat down to medium-low. Cover the pot and simmer patiently for 15 to 2 hours. When you poke the meat with a fork, it should feel very tender and start to fall off the bone. Step 4: The order of vegetables Do not add all the vegetables at once. First, add the corn (the hardest kind), cover the pot, and cook for 15 minutes. Step 5: Perfect texture: the quartered carrots and potatoes. Stir gently and cook for another 12 minutes. #Christianity #DivineGrace #ReligiousIcon #Jesus #foryou

About