@kusagatv: NDUGU WA ESTER MREMA WALALAMIKIA UZEMBE WA HUDUMA HOSPITALI YA KALOLENI Hospitali ya Kaloleni iliyopo Kata ya Kaloleni jijini Arusha, imekumbwa na malalamiko ya ndugu wa marehemu Ester Mrema, wanaodai kuwa uzembe wa kuchelewa kubadilishiwa oksijeni kwa wakati ulichangia kifo cha ndugu yao. Wakizungumza kuhusu tukio hilo, ndugu hao wamesema oksijeni ya mgonjwa wao ilikatika, hivyo wakafanya jitihada za kumwita daktari mara kadhaa, lakini hakufika kwa zaidi ya dakika kumi. Wamedai kuwa kitendo hicho ni uzembe ambao huenda ungeweza kuepusha kifo cha ndugu yao iwapo angebadilishiwa oksijeni kwa wakati. Ndugu hao wamesema hawapingi kifo cha Ester Mrema, lakini wanasisitiza kuwa uzembe wanaoudai unahitaji ufafanuzi, kwani wanaamini kuchelewa kwa huduma hiyo kulichangia kifo chake. Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kaloleni, Dkt. Anna, amekanusha madai ya uzembe, akisema hakuna uzembe uliofanyika na kwamba ndugu wa marehemu wanapaswa kueleza kwa kina hali iliyokuwa ikimsumbua mgonjwa wao.
MWANDISHI WA WANANCHI
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 16:46:58 GMT
Music
Download
Comments
mchomvu dá great :
huenda Dr aliona mnateseka tuu haponi
2026-10-27 18:23:07
45
Pamella Laizer :
kaloleni kiukweli ni wazembe sana.juzi tena wamemwacha mzazi kajifungua alafu kondo halijatoka wakamruhusu aende nyumbani mwisho wa siku yule mzazi alikufa
2026-10-27 18:45:19
60
de shengli :
natural course of death sisi km health professionals tunaelewa
2026-10-27 18:44:07
63
[Crying][Crying][Crying][Crying]kilichomkuta mama yangu uzembe wa madaktari wallahi sitowasemehe hadi kiama[Crying][Crying][Crying][Crying]usiombe mtu akufie mzima mzima[Crying][Crying]
2026-10-28 13:00:17
0
𝓰𝓵𝓸𝓫𝓮𝓻𝓽 ♡🪽 :
mitungi ya oxygen inalipiwa tokea ln
2026-10-27 17:26:10
20
naomy tzzy :
kalopeni wap Taratibu kidog nife unambiwa lipia ndo upate uduma ata kama unakufa
2026-10-27 16:54:53
26
Flora Revelian :
kwa maelezo ya huyo mama, huyo gonjwa alikuwa ni WA kufa, na walikuwa wameshamuona, sema ni lzma tu watoa huduma walaumiwe.
ila kufa sio rahisi sana, kufa ni mchakato..
2026-10-27 20:03:56
21
Ruqia Isaac mussa :
Hlf wanayo madharau Tena kule leba yaani wanadharau sana waangalie jaman unaweza kufa hapo kisa wao wanataka hela za uwizi
2026-10-27 17:19:58
30
*ೃ༄𝒮𝒶𝓁𝓁𝓎🩶𝒯ℴ𝓉ℴ𝒽*ೃ༄ :
Kaloleni ni wazembe sana kwenye huduma😏
2026-10-27 18:10:38
20
Hilda lymo :
hakuna daktari anaweza kuokoa maisha yamtu ila wanasaidia kutoa huduma yakusaidia maisha ,kifupi madaktari wanajuaga kabisa mtu akiwa ana hatua zamwisho pia kilakifo kinasababishwaga na uzembe kibindam lakini MUNGU ndo hupanga mwisho wamtu ndugu kueni nautulivu kifo niahadi na hakizuiliwi na dawa wala mtungi ivyo shukuruni MUNGU ahadi yandungu yenu imetimia acheni kulalamika imeshakua mpango wa MUNGU hakuna kitakacho badilisha ukweli kuhusu hii kuna muda muelewe kua daktar nae nibinadam kila anae poteza ndugu hua anaumia, wanaweza wakazunguka kitanda madaktari kumi mabigwa namgonjwa akafa
2026-10-28 05:16:49
8
Maryv :
Mimi naona kila mtu afanye kazi yake kwa uadilifu kwa kujali utu wa kila mtu.. Asante kwa taarifa sitokaa niende hapo.
2026-10-27 17:24:34
19
joyceeded :
no comment
2026-10-28 09:07:20
0
Ontarget Safari :
Atakama walijua atakufa wangetakiwa tu kuonyesha upendo
2026-10-27 19:08:27
18
Visper 🐳 :
Mara nyingi ukija fwatilia unaweza kuta uhalisia nitofauti. pande zote zisikilizwe kwanza. haya mambo kwa ground unaweza kuta stori ni tofauti
2026-10-27 18:51:09
12
drkim foundation :
ila jamn wahudumu tunalalamikiwa mpka kwenye kaz za Mungu
2026-10-28 10:02:34
6
Prince julius 💚💛 :
poleni
2026-10-28 02:04:21
0
Daddy_rayyan09 :
sema hayo majibu ya huyo dada yanakata maini mimi ni health personel ila cjapenda majibu ya huyo dada cjui ni nurse au doctor whatever
2026-10-27 18:24:36
8
user5802277161695 :
huyo alishafariki ila alikuwa anashindwa kukujulisha kwa haraka,polen sana.
2026-10-27 19:11:05
6
🤍🧿🧿 :
Sintakaa niwasahau mwezi wa saba tarehe 2 wamenisafisha mtoto hajatoka mtoto amekuja kutoka tarehe 20mwezi wa saba looohhh hapo sintakaa nirudi
2026-10-27 17:03:49
5
Cathy Store Arusha :
Kaloleni wajifikirie sana madaktari wao na uongozi wao Comments nyingi ni za lawama🙌🏼🙌🏼…Poleni kwa familia
2026-10-27 17:54:36
12
Vernance :
apo pana uzembe mkubwa sana niliwahi lazwa na mtoto wangu wa miezi sita kwa ulimonia cha ajabu kila dawa niliyokuwa naanikiwa nikienda dirisha la dawa naambiwa izo dawa akuna kanunuwe duka la nje
2026-10-27 17:11:48
12
bahati :
pole sana dada at mm ilisha nikuta kwa mama angu Tena hospital ya maunt meru
2026-10-27 17:23:09
6
Braided by VEE :
Mdogo wangu aliachwa kidonda wazi zaid ya lisaa limoja wanasema wanaenda kutafuta bandaji🙌🏽🙌🏽
2026-10-27 17:24:52
5
Bertha Mboya :
hosptal zote zinachangia wagojwa kufa unakuta mgojww hajiwez hawatak mtu abak wa kumuhudumia tunaacha dawa tunazikuta kitandani
2026-10-28 09:26:07
0
Raufu Ng'ombo :
yaani kwa maelezo yao tu, inaonekana kabsa mgonjwa wao alikuwa kwenye hali mbaya, na tayari alikuwa ameshaaanza kuonesha dalili za kuondoka, kuna saa nyingine kutokana na kutokuwa waelewa kwa baadhi ya ndugu, watumishi wa afya wanashindwa kuwa wawazi kwenye kila kitu, na ndyo maana wanayapeleka baadhi ya mambo kimya kimya,
The patient was possibly having PCP, go and read the survive rate of it, and at the time a nurse decided to disconnect the oxygen, the patient was possibly started to gasp, and a nurse just went to consult a doctor for death certification, no any more.
WAANDISHI WA HABARI MSICHANGANYE KABISA AFYA NA SIASA,
Aisee, watu wa afya tutafute sana ela, na ikiwezekana tuache kabsa na hizo kazi zenyewe, kila mtu akiumwa ajitibie nyumbani kwake,lawana zimekuwa nyingi sana.
2026-10-27 23:39:00
1
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm
homepage.