uku kenya tukisikia million tunaustuka
ebu kwa pesa ya kenya ni ngapi?
2026-10-28 14:06:15
1
Nyotas :
mimi my question is , where do the salt go. manake baada ya miaka kadhaa hiyo chumvi ama concentrated water ina accumulate. na mwenzio niko na miti shambani. sitaki chumvi conc karibu, nyasi zangu na miti itachomeka
2026-10-28 17:23:08
0
tony tonny :
hio ya Lita 6000 n pesa gapi ya Kenya?
2026-10-29 11:31:08
0
user1555289332651 :
taja bei ya kila kifaa
2026-10-28 04:10:10
0
fansfurnuture :
Ambayo naweza nkaanzia kwa kiwanda cha maji ni shingap
2026-10-27 20:18:52
0
Rakaiz Contruction Limited :
na lita elfu sita hapa kenya ni kama lita ngapi
2026-10-30 11:47:34
1
Kahindimasha :
Boss... twambie tu in Dollars... hapo kwa millions tutascroll mbio sana
2026-10-28 14:57:24
0
SWAO :
service yake ikoje
2026-10-28 13:02:40
0
UNCLE LULEH :
Elfu sabini ya Kenya 🤣🤣
2026-11-01 11:01:36
0
QUEEN MOTHER 👸👸 :
TUPE BEI.
2026-10-28 23:50:09
0
LAKOSTI :
ya lita elf6 kwa aiku ni bei gan
2026-10-27 18:35:58
0
MR BAHATI :
hio nikama pesa ngapi za kenya
2026-10-30 12:12:34
0
Mapinduzi Mdewa mzee :
lita helf 6000 bei gani
2026-10-28 19:55:33
0
Pink Rose :
na upande wa stima inatumia kiasi gani
2026-10-29 05:11:53
0
BJ :
nataka iyo ndo
2026-10-28 18:07:40
0
Jerbir96 :
bei kwa pesa ya kenya ngapi
2026-11-01 16:02:24
0
vicentmpiluka :
kwangu maji yanakutu sana
2026-10-28 11:47:06
0
Engr. NESTORY Kinoko :
bei
2026-10-30 14:29:46
0
Ommy_909 :
Maji ya chumvi kali yasafisha pia?
2026-11-01 13:25:54
0
Rehema Hamisi :
how much
2026-10-28 17:59:45
0
Engineer :
how much
2026-10-28 14:03:50
0
user2756322249148 :
OK merci ni lr richard Tengeneza mugumi Congo RDC Bukavu
2026-10-28 10:14:15
0
To see more videos from user @ajmal_chyna, please go to the Tikwm
homepage.