@ufr_tz: Wakili wa kujitegemea mkoani Tabora Kanani Chombala, amewataka wapangaji na wapangishaji wa nyumba kuhakikisha wanaingia mikataba ya maandishi ili kulinda haki zao na kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza. Chombala amesema mkataba wa kupangisha unapaswa kueleza kwa uwazi kiasi cha kodi, muda na utaratibu wa malipo. Kwa upande wao, baadhi ya wamiliki wa nyumba mkoani Tabora wamesema mikataba ya upangaji ina umuhimu mkubwa katika kulinda maslahi yao, wakieleza kuwa baadhi ya wapangaji wamekuwa wakikiuka makubaliano. Nao baadhi ya wananchi wanaoishi katika nyumba za kupanga wameeleza kuwa hawana utaratibu wa kutumia mikataba ya maandishi, kwa sababu hawajawahi kukumbana na changamoto katika maeneo wanayoishi.

Uyui FM Radio
Uyui FM Radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 17:15:25 GMT
19433
218
11
242

Music

Download

Comments

user977274582
Mr.nobody :
sheria zaajabu kuwah kutokea dunian.?uwo uvamiz wanamnagan ?mvamizi anamabegi masefuria kabat kotanda hahaha aya sawa tumekubali
2026-10-28 09:01:56
1
aika.nassir
Aika Nassir :
Khaa😳
2026-10-28 21:48:34
0
user0692352814
user2479434176229 :
sijui niweke sehem hii maana nimechoka
2026-10-28 19:56:43
0
ahmed.alrashidy61
Ahmed Alrashidy :
hizi ni Sheria kweli za tanzania na mikataba huaga anaandika nani ni standard au Kila mmoja anaandika anavojua Au huyu wakili hajui
2026-10-28 14:43:51
0
mussa_husseni586
mussahusseni586 :
apo Kuna mambo ayoo✌️🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴
2026-10-28 16:57:30
0
zakazakaria39
zaka zakaria :
sijaisikiliza adi mwisho ila hapo mmh
2026-10-28 04:29:58
0
sifadesigner
@sifa_designer :
Hiyo ni nchi gani unazungumzia
2026-10-28 04:54:02
0
user4560216239954
user4560216239954 :
safi sana
2026-10-28 14:24:23
0
wandotocadabra1
ibra cadabra tz :
sawa broo
2026-10-27 17:46:19
0
tahiya_mapishi001
ma khadija_mapishi🍲 :
allah akbar
2026-10-28 13:08:28
0
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
😂😂😂😂😂😂
2026-10-28 15:55:10
0
To see more videos from user @ufr_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About