CCM wasipotubu Kwa kukaidi maneno haya ya MTU wa MUNGU watayakumbuka mpaka wanakufa watajuta
2026-10-27 19:10:02
0
Sande Steven :
huyu ndiye mutumishi was mungu anayeona ya miaka ijayo
2026-10-27 18:56:07
0
Emmanuel Ndile :
na Leo yalishamiuta Samia hata pale alipo Hana Amani maana anatawala Kwa kuwaua watu waliokuwa hawataki na Hadi leo hawamtambui hawampendi. Magumu CCM Kila Leo VIONGOZI wenzie wanajiuzulu .
2026-10-27 18:56:48
0
Emmanuel Ndile :
Biblia inasema kutii ni Bora kuliko dhabihu na na manukato. Waliomtii Mungu Kwa manabii walipona NCHI zao
2026-10-27 18:58:04
0
Emmanuel Ndile :
YAKUMBUKENI MANENO YA WATU WA NINAWI. YONA 3:4 RAIS ASINGETUBU NINAWI INGEANGAMIA.
TANZANIA IMEMEGUKA VIPANDE
2026-10-27 19:05:35
0
Emmanuel Ndile :
MUNGU Akamtuma YONA akawaambie watu wa NINAWI TUBUNI Dhambi zenu maana baada ya siku 40 ninawi itaangamia. RAIS akatii na akawaambia watu wa Ninawi tubuni mfunge . NINAWI ikapona. Samia yakumbuke hayo
2026-10-27 19:00:38
0
Emmanuel Ndile :
Ewe Kikwete Je kama mkapa angelikuwa mbinafsi wa kujitapa Ungekuwa Rais wewe?? lakini wewe ukamtangaza Samia mbele ya mkutano mkuu bila kupiga KURA ya WATU wa 3 na NEC huo ubinafsi umeligawa Taifa.
2026-10-27 19:08:46
0
Alfa chiwanga :
🥰🥰🥰
2026-10-27 18:20:30
0
To see more videos from user @sautitv9didotal, please go to the Tikwm
homepage.