@tystoursburundi1: Burundi 🤩 #burunditiktok🇧🇮 #tanzaniantiktok🇹🇿 #burundi #kenyantiktok🇰🇪 #burundi🇧🇮

TYSToursBurundi
TYSToursBurundi
Open In TikTok:
Region: CA
Tuesday 27 October 2026 17:28:11 GMT
28644
1478
62
30

Music

Download

Comments

farudasupe2
JOH CHEGUEVARA KING :
Burundi sehemu nzur n Bujumbura tu, huo ndo ukwel, kwingine kote wakaz wake maisha wanayoish n yale maisha waliishi babu zetu kipind cha miaka ya 196.....umeme shida, vyakula shida usafir shida kila ki2 shida,...Petrol station za kuhesabu zinazotoa huduma pengine ktk mkoa usishangae ukakuta Ipo moja tu,. sukar shida kuipata, mafuta ya kupikia shida kuyapata wanatumia mafuta ya mawese.......kwaufup n Nchi ya hovyo sana, elfu 10 yetu kwao n 23000 dah
2026-10-27 19:04:19
16
official.maria.40
maria official :
hiyo sio burundi kaka toka lini burundi ika pendeza ivo
2026-10-27 18:29:59
5
willys.designer
Willy's designer👖 :
By the way Burundi kuna hata gorofa kweli
2026-10-27 19:11:38
5
user3813424969829
🥰MUNEZERO AISHA MANALLA💘💝💖 :
nikwel hata mimi nimeshanga siku nirienda burundi nipazuri sana
2026-10-27 18:51:14
7
hakunaga6
jeshi :
mbon pakawaida mno hapo
2026-10-27 20:40:01
2
brighton.sahp
B TON :
BURUDI NA MINAZI WAPI NA WAPI 😅😅😅😅
2026-10-27 20:32:43
0
multchoice
multchoice frank :
kiufupi burundi na Rwanda hii ni miji maarufu ya Tanzania
2026-10-27 20:05:00
1
aminarashidi21
evode by :
nipo dalissalaam wanatuzarau San ira hamun shida
2026-10-27 20:00:54
1
songo287
Songo :
asa apo atal ni nn mbona bado pabaya 🤔
2026-10-27 21:03:31
1
favour_hanci
Favour :
waambie wajue bdi ni pazuri
2026-10-27 19:10:01
2
user815597478012
+256781841240 :
Burundi nipaziri
2026-10-27 18:14:56
1
user9979168045610
mualibwanji :
sio Burundi tu hata Sudan kusini na malawi huonekana mrugaruga
2026-10-27 18:38:05
0
alicemugishaofficial
user2494214556499 :
apo nukwetu kabisa Burundi [Red heart]
2026-10-27 20:49:34
0
please_followmei
Husseini_kadukadu⚠️ :
Iyo si arusha tu kwa Tanzania
2026-10-27 20:40:47
0
chriss_ouro1
. :
hapo ni kigoma kaka
2026-10-27 20:19:27
0
sereman.boy0
sereman boy :
nipazurimun anbay hawapajuw nawanapaona pabov
2026-10-27 17:36:22
0
lrakoze.thirry
Tumsifu p jay :
Kwa heshima
2026-10-27 20:40:43
0
isayafungo5
Isayafungo5 :
kumbe kuzur tu
2026-10-27 20:19:28
0
gilbertwanjala7
gilbert wanjala fred :
Burundi 🇧🇮 iko shida bro, wacha kutuonyesha Bujumbura. sehemu zingine ni ovyo
2026-10-27 19:41:47
0
gilbertwanjala7
gilbert wanjala fred :
Imagine barabara za vumbi kati kati ya jiji
2026-10-27 19:43:35
0
embassy.phone.empi
Embassy Phone Empire 🇺🇸 :
hapo ndo Burundi mjini
2026-10-27 20:28:28
0
victorissa6
Victor Forko 🇹🇿 :
nawapenda sana waBurundi wana roho nzuri sana, na nilikuwaga na pisi ya kiburundi kwa mbali unaweza mchukulia poa ila akisogea karibu nd nilikuwa naona uzuri wake ila naona hapatkani tena jaman Wineza, nawapenda sana Burundi 🇧🇮
2026-10-27 20:18:46
0
gedna.17.18.22
Eastlife :
polini hivi😂
2026-10-27 20:07:39
0
ahmadh50
H habibu ahmad :
Hamna usafiri bwana
2026-10-27 22:26:15
0
user9855470796561
suleimani øg :
uhakika
2026-10-27 18:29:56
0
To see more videos from user @tystoursburundi1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About