@islamicswahilinet: SIRI YA KULALA NA UDHU Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 17:42:11 GMT
Music
Download
Comments
Ukhuty Minah :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA
2026-10-27 20:53:14
20
uislam ni nuru :
subhanaka
2026-10-28 04:46:21
0
cutie damla :
mashallah ndio maana napenda kuswali inshai na kulala kabisa alhamdulilah 🥰🥰🥰
2026-10-27 17:59:16
13
Suleilah Leila :
Sasa ukitoka kukojoa usiku
2026-10-28 04:11:07
3
suma marobo :
Allal Akbar
2026-10-27 19:43:02
0
Nassor Chollo :
📢waislaam takbirrrrrrrrrrrrrr
2026-10-28 03:38:19
1
user8532819835948 :
allah akbar
2026-10-28 04:09:25
3
mwarishmod salum :
yarabi tujaalie mwisho mwema Allahumma amiin
2026-10-27 20:39:34
5
sweat _gul :
Allah atukumbushe tuwe na udhu muda wote
2026-10-27 17:52:26
3
phina the boss :
Allahu akbar
2026-10-28 03:05:47
1
Salim batwah :
subhaanallah..... Allah Karim Allah Rahim
2026-10-27 21:41:18
2
MARIAM RIDHIWANI :
allahualbar
2026-10-28 05:19:26
1
Nyeussi :
Subhanallah
2026-10-28 04:16:34
1
2K :
MASHAALLAH
2026-10-28 04:04:27
1
user48554080798126 :
Mashallah
2026-10-28 03:43:43
1
chilala painter 💯💥% :
amin inshaallah
2026-10-27 20:31:09
1
Asia Omar :
allah akbar
2026-10-28 04:04:54
1
chizi wa moro🔥🔥🔥 :
Allha AKBAR
2026-10-27 22:04:36
1
user2920453901793 :
Mashallah
2026-10-27 17:49:25
3
🦋neema cute🥰😘 :
allaah Akbar
2026-10-27 20:17:10
1
Anifa😍😍😍😍 :
Allah Akbar 👍👍👍♥️♥️♥️♥️
2026-10-27 20:32:02
1
user83410610615910 :
ALLAHU AKBAR
2026-10-27 19:08:24
1
user4292052198772 :
jazaqallah khayra shekh wangu
2026-10-27 20:17:32
1
Abdoul Aziz Neuma :
amin
2026-10-28 06:40:30
0
Aliko Ally :
s a.w
2026-10-28 07:58:44
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.