Mashallah, haya ndio maisha nayoyataka kuyaishi baada ya kuolewa napenda sana maisha ya kumtii mume wangu, Ya Rabbi nijaalie mume bora kama mwenye mkataba huu
2026-11-09 11:53:57
6
moudy :
mm[Pray]
2026-11-09 20:07:19
0
Nasra :
mashaallah 😊😊 nimekupata sasa
2026-11-08 17:29:23
0
user42117815810585eunice mupa :
Koma!
2026-11-08 19:18:57
0
naifat Abdullah :
hakuna ninachokiweza hata kimoja ndoa sina apo
2026-10-28 19:25:39
4
👊 :
kwakua ndoa ngumu kuipata nakubali lakini ujue mm nimwanamke utavunja kwa hiari yako mkataba wako kwa upendo [Heartwarming][Hands open]
2026-10-29 07:17:50
3
💋💜🌼 Najat_ 003🌼💜💋 :
hapo yote siyawezi mm afadhali kubaki single maisha yote 😂😂
2026-10-31 16:43:34
2
Mtoto wabibi 🧑❤️🧓 :
Mume Sheria zote nimezielewa kasoro namb Moja maan nitakuwa nakumisi sana 🥹🫂😘
2026-10-28 19:39:40
5
💦 Rahm 🧕 :
ndugu zako na ndug zangu kukaa kwetu mwish wiki Moja
2026-10-28 16:35:41
7
Rey luxe :
hii ya kwanza mtaniua yaan napiga sim Ka nimepotelewa bas