Hio n Oil pump babu. Alaf ukicheza utachoma Crankshaft. Na ukitaka kubadilisha Tafuta Original from japan au kwenye engine used za kuchinja.
2026-10-27 19:42:48
2
kaju penengu :
hapo kwanza nipate pepsi baridi
2026-10-27 18:40:58
1
Lukemelye :
crankshaft na piston na mkono wake imekwenda.
2026-10-29 03:47:13
0
ENGINEER LUKOYE 🚗 :
🤣🤣🤣 ni mbaya
2026-10-27 20:05:43
1
user2063586983744 :
oil pump, oil stainer au oil imepunguwa Sana kutokana na changamoto ya Ring Piston au Valve Seal
2026-10-28 16:04:42
0
Benson rotors :
oyo ni fly weel mkuuuu
2026-10-28 20:46:01
1
carebydeo :
Me ilikua 1Az ilikua ni flywheel lilikua limekatika angalia vizuri mkuu
2026-10-27 20:13:09
1
Salym Humoud :
terming
2026-10-27 19:46:40
1
DAINOSSA :
Gar aipandishi oil karibia ina nock
2026-10-27 20:02:28
1
christopher pamba :
ukitaka Iwake vyema bila hizo kelele,chukua chumvi kiasi Cha robo kijiko Cha chai iweke ndani ya engine ifunge then iwashe hapo matatizo ya injine utayasahau😁😁😁.
2026-10-27 19:38:42
1
iddytemba0 :
unamwambia engine mbovu?
2026-10-27 19:46:07
2
sajent :
chuma kinaliya nok icho bos
2026-10-27 20:32:25
1
wizi zaha :
iyo nimikono ya piston broo
2026-10-27 19:19:50
1
idriss kibwan :
piston inagonga
2026-10-27 23:25:45
0
Fundi magari tz :
hiyo mikono ya pistoni kunamkono sio mzuri apo mkuu
2026-10-28 07:46:35
0
Cobadel :
shida ni shida😂😂
2026-10-29 00:06:18
0
emmanuel847794 :
kama sio cam Ile ya vvti bas chek jino la crank balance chini nahc apo
2026-10-28 19:39:09
0
Agustino Shayo :
balance hakuna na oili haipand hienda njia imeziba au pump zimetaga bro
2026-10-28 20:57:54
0
ItsGabby :
check balance shafts
2026-10-28 16:07:52
0
Bosco_temba :
bad oil pump na timing ya hizo camshaft hazipo synchronized.
2026-10-28 11:40:31
0
Nassir_ali :
boss namwambia gari haiwaki pia inanguruma kama machine yakukoboa mpunga
2026-10-28 16:43:43
0
To see more videos from user @eliautofix, please go to the Tikwm
homepage.