Istighfar mara100
suratul fatiah mara 71
Ayatul qursiyu mara 21
suratul farqan Aya 74 mara 21
baada ya hapo chukua majina mawili ya Allah Ya Wadood 1719
Ya jaamiu 1719
2026-10-27 22:44:52
16
user7802156865709 :
kaka nisaidie mi wng ana mke mwengine lkn ananitesa na kunipiga tena sana
wanasema mume haibiwi wanatutukana sana mi kubwa naon nimuachie mungu tu bs 🙏
2026-10-28 14:23:55
1
user7195549734145 :
mimi muislam ila mume wangu sio muislam wala mkristo maa a hendi kanisan wala msikitini.. ila nimeolewa tu kinyumban.. sai mme anachepukaa ajabuu ata sasa naambiwa niondoke nyumban nko na watoto wawil.. hii yaweza nisaidiq
2026-10-28 16:41:16
0
Akshana :
Ni shida sna
2026-10-28 19:04:15
0
mariam ms :
Hadi nawatoto anazaa nae nimemwachia Allah nimana ndie Alietaka iwe hivo
2026-10-27 23:42:53
1
@me :
unanuia vip? au unataj jina lake?
2026-10-28 01:50:55
1
عايش :
Je kama anaishi sehemu nyingine
2026-10-27 22:05:59
1
Sarvator Rahimu :
alihamndulilla
2026-10-28 06:23:02
1
pretty🌹 :
Mashallah shukran sana.. Allah ATAKULIPA zaidi na zaid.. Alhamdllh
2026-10-28 04:45:15
1
FAUZIA AWINJA :
shukuranii sanaa ustadh
2026-10-28 00:24:56
1
Tuma bee :
Kweli shehe mpka tumeachika
2026-10-27 18:21:05
1
_ethiarab7258 :
Asalaamu alaikum warahmatullahi wabarakauh
Naomba mtu aniansikie iyo dua
2026-10-27 22:25:06
1
💜 :
siku ngpi
2026-10-27 21:04:17
1
Madame :
ni kweli sheh
2026-10-28 11:49:11
0
bag cute :
Kama yupo mbali je
2026-10-31 11:03:48
0
bahatikhamis205 :
Asante sheikh code nzur
2026-10-31 03:22:14
0
Anty Besty Yummies :
as kwa siku gpi
2026-10-29 21:34:59
0
Mrs arjuun :
mie nishazoea hat sijali naisubilia ndoa inayofuata
2026-10-30 18:11:03
0
mmys :
Asante ustadh
2026-10-28 13:28:15
0
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm
homepage.