Kwenye jambo la ovyo na dhambibkabisa ambalo nchi yetu imepitia ni KUTEKA, KUPOTEZA na KUUA WATANZANIA WENZETU. Hii ni dhambi kubwa amabyo haitatuacha salama huko tuendako
2026-10-27 20:44:11
4
mshanga :
Hongera pandri Kwa kusema ukweli
2026-10-28 10:57:39
3
Edi :
Mimi nakubaliana na mahubiri yako Mimi muislamu
2026-10-27 20:31:58
3
medro sanga :
wamepanga kutumaliza baba tuokoe
2026-10-28 05:17:32
1
𝚙𝚊𝚞𝚕𝚘 Lazaro :
walewle
2026-10-27 21:27:34
0
devothaignatus :
👏👏👏👏👏👏👏Kwakuliona hilo
2026-10-28 12:54:01
1
Mgayastudio :
Bwanaa Asifiweeeee
2026-10-28 15:41:42
1
Mseven Michael :
SEMA kweli mam tupone
2026-10-28 15:58:42
1
@ :
ubalikiwe mtumishi wa bwana alie juu
2026-10-27 20:13:33
2
goodlucky :
barikiwa zaidi mtumishi
2026-10-28 14:47:39
1
Moris Rozi :
SEMA BABA
2026-10-28 12:56:46
1
Zena :
KANISA LIKO WAP NAPENDA PADRE ANAESEMA UKWELI KIUKWELI UMETUGUSA
2026-10-28 11:31:57
1
user :
Wamepanga tukumaliza
Baba wamepanga kutumalizaaa
2026-10-28 04:11:49
2
Makamba Muinge :
ubalikiwe mtumishi wa mungu. na mwenyezi mungu akulinde na akupe afya njema
2026-10-27 22:50:50
1
Esta Mwasalwiba :
Amina mtumishi.
2026-10-27 20:51:08
1
Francsi Damas :
🥰🥰🥰a
2026-10-28 01:59:09
1
Nyabange :
ni ujumbe mzuri kwa watu waelewa
2026-10-28 13:40:11
1
Great Boaz :
Mungu akulinde baba askofu, hii ni injili iliyo hai
2026-10-27 20:16:14
1
B H🤳 :
asikofu mungu hakubaliki sana
2026-10-27 19:55:00
1
user7907421881251 :
nimependa uyu mtumishi yukovizuri
2026-10-28 05:54:17
1
jane shirima :
kanisa lako mchungani liko wapi nije kutoa fungu la kumi
2026-10-28 08:38:57
1
erizabety masebo :
mungu atusaidie
2026-10-28 18:12:29
0
To see more videos from user @logan.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.