@islamicswahilinet: IMAMU AKITOKA RUKUU NA KUSEMA “SAMI‘ALLAHU LIMAN HAMIDAH,” MAAMUMA WANAPASWA KUSEMA NINI? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 18:19:42 GMT
Music
Download
Comments
Fatma omary :
rabbanaa walakalhamudu hamdani kathira tayyibal mubaraka fiihi
2026-10-27 19:15:20
37
jumashabani201 :
Rabbana walakal hamdu
2026-10-27 18:23:36
74
minomino :
hii inamaanisha huwa tunaenda misikitini 2 na hatujui tunaenda kufanya nn
2026-10-27 19:30:54
9
ummy Nasser 😘 🇹🇿 🇶🇦 💞🙏 :
Rabana walakal hamdu🥰
2026-10-27 21:04:49
1
Khuyphah# :
warabbana walakal hamdu
2026-10-27 18:23:58
17
Bintshebby :
Aiseee SubhanaAllah mtihani huu kwakweli mtume anasema tuswali kama alivyo swali yeye
2026-10-27 20:49:25
1
Mr Junior :
subhhannallha inauma sana
2026-10-27 18:27:17
5
zugahbet :
Rabbana walakalhamdu
2026-10-27 18:31:03
7
umihamza :
subhanaAllah watu wajifunze...
2026-10-27 20:23:42
0
Mohamed Masoud :
watu wengi sana kusaal hawajui
2026-10-27 20:02:26
0
Azminah 🫶🫶✌️ :
Rabbana walakal hamdu hamdan kathira twayban mubarakan fihi
2026-10-27 19:41:59
2
swaleh :
aibu kubwahii yaniwatu hata kuswali awajui asante dadangu
2026-10-27 19:52:11
0
Raymercollections :
Rabbanaaa Walakaa Hamdu
2026-10-27 18:31:53
4
formidable :
rabana walakal hamdu
2026-10-27 20:02:45
1
Ayubu mdee :
Rabanawalakalihamdu
2026-10-27 19:05:02
3
Mikidadi Ali :
rabbana walakal hamdu
2026-10-27 18:26:28
1
Nasmaty❣️❣️ :
rabhana walakal hamdu
2026-10-27 18:41:57
2
Totoz :
rabana walakal hamdu
2026-10-27 20:00:36
1
Ar Ally :
Rabbana wakalhamdu
2026-10-27 19:19:42
1
Rammess10 :
Rabbanaa walakalhamudu hamdani kathira tayyibal mubaraka fiihi
2026-10-27 20:13:59
1
user4993095438734 :
rabbana walaka lhamdu
2026-10-27 19:10:56
1
AL Akhi Rama :
rabbana walakal hamdu hamdan Kathiiran twaiban mubaarakan fiihy
2026-10-27 19:06:24
1
Imu :
Kuna zaidi ya adhkar nne Daah Allaah awaongoze wao pamoja na sisi 1. Allaahumma rabbanaa lakal hamd 2. Rabbanaa lakal hamd 3. Allaahumma rabbanaa walakal hamd 4. Rabbana walakal hamd 5. Rabbanaa wa lakal-hamd, hamdan kathiyran twayyiban mubaarakan fiy
2026-10-27 19:11:06
4
Nuraah :
subuhanalaa
2026-10-27 21:15:28
0
Mohammed Ali :
Rabbana Wallakal hamd
2026-10-27 18:23:50
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.