Mwenye nyumba wangu huyo, nimetoka kumpa Kodi Asubuhi aiseee😳
2026-10-28 00:23:18
345
Chinde360 :
Asante mjomba kwa kunidhalilisha
2026-10-28 04:12:37
120
ᵖᵉᵃᶜᵉ ᵃⁿᵈ ˡᵒᵛᵉ 🐍🐍 :
tuache masihara mzee anajua sanaa😅😅😅
2026-10-28 05:03:51
105
Queen mimah💕 :
asante baba mkwe huna baya
2026-10-28 04:44:28
40
ozana650 :
hahahhaha Kuna muda watu wanakasilika kweny furaha y wenzao mkiona anafanya ujinga muwacheni jamani alikuja dunian peke yake n ataondoka peke yake makasiliko y nn enjoy mwaya baba etu sisi tulitamani ata wawepo wafanye Ivo tufurah ila so liziki😭🥰
2026-10-28 03:54:41
91
FATIMA THE BEST :
si mnasemaga nyimbo za Zuchu ni za watoto c mnaona wenyewe jamani lkn
2026-10-28 01:54:51
254
YATIMAHADEKI🥷🏿 :
Hapo kuna mambo hayo[Victory][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-28 06:10:17
0
Mr. 👊🏾five❤️ :
Umri uweshimiwe😂🙌🏿basi
2026-10-28 03:42:30
15
YourTrulyFaith :
sijui baba ake nani huyu,sorry ooh🫂
2026-10-28 07:33:21
1
Tinyango1176 :
Ndoto ya kila mwanamke
2026-10-28 05:19:37
6
Na_bi🦋🫧❤️ :
Ila Baba sa ndo nini jamani 😂😂
2026-10-28 06:21:12
12
𝙋亗𝙖𝙣𝙙𝙖 :
Oya nyimbo za zuchu zitengwe 😂 najifungiag ndani nacheza
2026-10-28 06:22:41
5
Its_me😊 :
Nyie yanga rah[Tears of joy][Fire][Fire]
2026-10-28 06:52:39
11
ALHAMDULILLAH ALA KULI HALI :
Ila yanga vaibe la wazeeee
2026-10-28 02:23:38
22
Ney Amour :
Ilii vibe la point3 eee😂😂
2026-10-28 06:41:50
1
hengo5969 :
wat wweee
2026-10-28 04:13:00
1
Barkisi------ :
jaman nd shemej yen mumzoee t ndg zang ndn napat shd san jw hy miuno
2026-10-28 04:14:41
7
Manyota lite :
Ndio maan yanga sihami 😂😂
2026-10-28 05:24:58
6
ndaro @ :
apo kuna mambo aya [Victory]
2026-10-28 06:43:03
6
Badrun :
Hivi ndio wanaume na furaha kama wake zetu hawako karibu😂😂😂😂😂
2026-10-28 04:24:39
18
KB :
Ndio alivyo huyo akiona mademu 😂
2026-10-28 06:47:10
5
Richard Michael :
mzee ningejua nisingekukatia ticket kumbe mambo yenyewe ndio haya 😂😂😂
2026-10-28 05:24:23
17
blackdiamond🖤💎 :
Baba tumekuomba hela ya mboga ukasema unatoka mara moja tuendelee kusonga ugali unarudi na mboga huku umefikaje.😳
2026-10-28 05:52:52
7
To see more videos from user @hakimnzeji5, please go to the Tikwm
homepage.