@abdougaye7512:

Boiserie Sope Naby
Boiserie Sope Naby
Open In TikTok:
Region: SN
Tuesday 27 October 2026 18:39:19 GMT
207
20
1
1

Music

Download

Comments

momodomoudeukbi12
Modou gueye :
🥰🥰🥰
2026-10-27 18:51:16
0
To see more videos from user @abdougaye7512, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

WAFANYA BIASHARA WOTE WALIOFANIKIWA WANAZINGATIA HIZI SHERIA NA KANUNI ✍🏻Biashara si bahati nasibu - ni mchanganyiko wa maarifa, nidhamu, na maamuzi sahihi. Hizi hapa ni sheria 10 muhimu utakazopaswa kufuata ili ufanikiwe: 1. Anza na Unachoweza Kwa Kidogo Usisubiri mtaji mkubwa. Anza na ulichonacho. ➡️
WAFANYA BIASHARA WOTE WALIOFANIKIWA WANAZINGATIA HIZI SHERIA NA KANUNI ✍🏻Biashara si bahati nasibu - ni mchanganyiko wa maarifa, nidhamu, na maamuzi sahihi. Hizi hapa ni sheria 10 muhimu utakazopaswa kufuata ili ufanikiwe: 1. Anza na Unachoweza Kwa Kidogo Usisubiri mtaji mkubwa. Anza na ulichonacho. ➡️ "Kiasi kidogo chenye nidhamu ni bora kuliko kusubiri milioni." 2. Elewa Soko na Mahitaji ya Wateja Usiuze unachotaka wewe - uza wanachotaka watu. ➡️Fanya utafiti wa soko, fahamu ushindani, na wateja wako ni kina nani. 3. Toa Huduma Bora Kuliko Wote Wateja hurudi kwa sababu ya huduma nzuri, si bei pekee. ➡️Tabasamu, muda wa kujibu, vaminifu, na kufuatilia maoni yao ni hazina. 4. Tenga Faida na Mtaji Usitumie faida na mtaji kama hela zako za kawaida. ➡️Mtaji ulinde kama roho yako. Faida ipe nafasi ya kukuza biashara. 5. Jifunze Kila Siku - Usibweteke Dunia hubadilika haraka. Usiwe nyuma ya mabadiliko. ➡️Soma vitabu, fuatilia video za biashara, na waulize waliotangulia. 6. Epuka Madeni Yasiyo ya Kuongeza Thamani Usikopesheke kwa matumizi yasiyoleta mapato. ➡️Deni nzuri ni ile inayoongeza biashara, si kupendeza marafiki. 7. Fanya Kazi kwa Nidhamu - Hata Bila Msukumo Wamiliki wengi hushindwa kwa sababu hawana ratiba wala msimamo. ➡️Lala kwa wakati, amka kwa wakati, zingatia muda wa biashara yako. 8. Tengeneza Uaminifu Mara nyingi watu hununua kwa sababu wanakuamini. ➡️Usiuze bidhaa feki. Usiahidi usichoweza kutimiza. Jenga jina lako. 9. Weka Akiba na Rejesha Kwenye Biashara Usile kila unachopata. Wekeza tena ili ikue zaidi. ➡️Fanya "reinvestment" - ongeza bidhaa, boresha mazingira, au fungu la matangazo. 10. Omba na Mshirikishe Mungu Akili, juhudi na maarifa havitoshi bila neema ya Mungu. ➡️"Mtu akipanda, ni Mungu ndiye anayetoa mavuno." Omba vongozi wa kiroho kabla ya kila hatua. Hitimisho: Usiogope kuanza, usiache kujifunza, usiache kuwa mwaminifu - na mwisho wa yote, usikate tamaa. Biashara ni safari, na kila hatua huleta somo na mafanikio mapya. Kama unamtaji wa kuanzia 165000na haujui ufanye biashara gani au unaanzisha biashara inakufa au umeajiriwa lakini unatamani kuanza biashara kwa muda wako wa ziada karibu nikupe wazo la biashara. Tuma ujumbe wenye neno BIASHARA kwenda whatsap namba +255782880357 (usitume SMS). #ushauri #maisha #motisha #mindset #kujjijenga

About