@rizzy_boe0: chura fc in the quality #creatorsearchinsights yanga vs mashujaa

Rizzy_Boe
Rizzy_Boe
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 19:01:11 GMT
80107
3186
269
421

Music

Download

Comments

salome.daniel36
Salome Daniel :
maisha bwana hayako fair some times[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 05:34:34
0
user5342069539941
mama vanvin :
goli mbili ndyo wamefurahi ivyo 🤣😂😅aibu naona mie
2026-10-27 19:53:01
28
husnaidi05
Queen👑husna🌹❣️❣️❣️ :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo lini iyoooooooo👍👍👍
2026-10-27 20:05:19
31
vinnyy3jr
🫵🤣☘️Van de vinny☘️🥴✌️ :
Kama chura kumbe kucheza wanajua×2[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 03:48:34
8
kasato112
Kasato@ :
aina ya kushangilia mfano wa sokwe sio churu
2026-10-27 20:31:18
17
jackie61902
jackie cute✨️✨️💞💞 :
huu mwaka aibu mtaona nyie sie kikubwa point tatu nyuma mwiko I love yanga💚💚💛💛💛💚💛💛💛💚💚
2026-10-28 06:18:20
3
debora52tiktok
debora :
simba mnateseka mkiwa wapi
2026-10-28 05:43:43
2
tiktok.comcute21
Cute little 😍 :
Inachekesha kama sio tm yak[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 04:11:17
3
mumuhilet9
Mumuhilet9 :
Aibu wallah 😂😂😂 2.1 tena Dakika ya 80 umerudisha unanguvu ya kushangilia kiasi hiki tena mashujaaa😂
2026-10-28 03:24:22
3
kenyaboyjr
kenyaboyjr :
YANI NIMECHEKA SANA SASA NDIO NN
2026-10-28 06:06:05
2
mzee_mteule
Mzee Mteule :
Hivi wameshinda 6 nao?
2026-10-27 21:13:22
5
hadesuhiln5
hadesuhiln5 :
yanga inachekesha kama sio timu yako😂😂
2026-10-28 05:31:29
1
stppbl_pacheco
Pacheco👳 :
mtandao unasumbua ngoja nikate nakupigia tena
2026-10-28 04:46:29
0
its_bravest
it's bravest ✈️ :
hii nayo kali wanasimba video ifike mbali hii🤣🤣
2026-10-27 20:47:29
2
rynee684
rynee :
Karibia wangesare😁
2026-10-28 03:13:20
0
pastory537
@pastory :
siwez kukunyima like make umenifurahisha kinoma🤣🤣🤣🤣
2026-10-27 21:38:55
0
.adria05
Ria✨✨✨ :
Nilijua Wanaonewa Kumbe ni kweli?😳
2026-10-27 20:32:12
0
pointer.kiddy
pointer kiddy :
kwani chura au nini
2026-10-27 20:26:56
0
jakob.isaya.keiya
Jakob isaya keiya :
🥰🥰🥰
2026-10-27 19:04:48
0
saidtz2
Said Tz 🇹🇿 :
2026-10-27 20:30:00
1
001kingtanga4
king tanga :
nimecheka mpak nimemsamee mke wang kwa kuzaa na mzungu
2026-10-27 20:08:28
1
user7598000532984
user7598000532984 :
watotowadogo hawawezi kujua hiyo
2026-10-28 05:08:05
1
zuwenambaraka775
Zuwena :
eeeeeeeeeeeeh🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
2026-10-27 19:08:44
2
joharihussein829
Johari 123 :
ilawana simba ham ishiwi visa
2026-10-27 20:58:13
0
aminadulla0
Grn :
Acha bhn max akiona hii atakutafuta akupge makofi 😁
2026-10-27 20:21:11
1
To see more videos from user @rizzy_boe0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About