@siasatz: Mahojiano haya yamejibu maswali mengi na propaganda uchwara zinazopikwa kila siku. Wakili Alute Mughwai kaka yake Tundu Lissu masikini ya Mungu alisingiziwa anaishi zake Sea Cliff kwa mgongo wa kulamba asali🤦🏽♂️. Kumbe mzee wa watu ambae ni kada mtiifu wa CCM yupo zake Arusha anajiuguza baada ya kufanya juhudi kadhaa kumtoa Lissu Lupango na kugonga mwamba. Credit: The Chanzo #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
kumbe mange alikua sahihi haha ingawa hawezi kuwa sahihi kila kitu ila mwanga alikua nao mlichofanya
2026-10-28 03:33:20
7
Benja Mazige :
maisha ya mh lisu tangu waanze ku mtesa walio shiriki leo wengi hawapo na bado hawajifunzi
2026-10-28 05:51:23
4
user4344245125731 :
inaoneka kunamengi nyuma ya pazia kama kesi Iko mahakamani kwa nn wanataka familia waombe radhi kwa kitu Gani????
2026-10-28 09:13:47
2
Salma oman🇴🇲 :
mange alisema huyu mzee akakanusha si munaona ni swala la muda mange hajawahi kuwa muongo na hapo lema alikuwepo pembeni
2026-10-28 01:07:06
4
dorah_mollel :
Familia takatifu ni ile yakumpendeza Mungu ni familia inayodumu ktk neno la Mungu🙏
2026-10-28 02:52:40
2
Mr.nobody :
huyu jamaa hawamuwez yaan bora iyo negotiation wangefanya nalisu..bro yupo critical than lisu
2026-10-28 07:51:15
1
yonakilabuka :
Kumbe kesi niyamchongo. sasa barua ya nini?
2026-10-28 05:58:26
1
mr confussion :
hapa kuna misimamo ya kifamilia
kumbe kisu karithi hii misimamo
hongera kwa khalifa kwa kugundua mzee anataka azungumze yey mwnyewe badala ya kumchomekea
na kaongea vyema mno
2026-10-27 20:13:37
4
Heaven Gate Keeper :
kumbe hapo katikati kulitokea msuguano mkali kati ya familia na serikali
2026-10-28 11:09:40
0
mlawatu :
Mungu ailinde hii familia
2026-10-28 06:52:42
0
sheshe boy :
Mimi na like tu comment Wala sita comment chochote
2026-10-28 06:42:12
0
Steven Manasse :
mh
2026-10-28 08:03:28
0
lgffumbuka :
mzee mughwai ana ethics kijana halifa anataka ushabiki atajwe jina
2026-10-28 07:47:48
0
Raphael Range :
ACHA LISSU AITWE LISSU, HUYU MTU NI BALAAAAA, SERIKALI HAILALI KISA HUYU JAMAA, WANASHINDWA KUJUA WANACHOMOKAJE HAPA WALIPOFIKIA
2026-10-27 22:03:46
0
Anthonia Mkamba :
Mmmh.
2026-10-28 04:13:57
0
Xaixai Obrigado :
kumbe!
Hii ndiyo akili kubwa ya sirikali!
2026-10-27 21:46:29
0
VEGAS :
mzee anadag sana.anapoteza mbtu
2026-10-28 03:02:02
0
akilemwa :
😳😳😳
2026-10-27 20:19:05
0
yazz :
😅
2026-10-28 10:39:05
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.