@lilymediaa: #fypシ゚viral #goviral #viral

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 20:02:24 GMT
107425
3044
342
139

Music

Download

Comments

surusialexander44
Alexander surusi :
kweli yani ase[Crying][Crying][Crying]
2026-10-29 13:04:18
0
halimarw
Halima rashid🦋🦋🧿 :
CRDB wanabonda NMB Wananyonga
2026-10-29 11:58:26
71
user8088419192953
bm mathew :
wambie
2026-10-29 17:56:00
0
silentvibes608
Deuce🦋 :
na NMB jmn uwiiiiiii🥺
2026-10-28 18:02:07
34
minzha27
minza kidoti💞💍 :
ukimlza naomba na halotel unaweka bando dakika mbili tu unaambiwa limeisha
2026-10-29 07:34:53
25
amshakirah1
amshakirah1 :
Kabisa
2026-10-29 16:16:27
0
user3122013959457
scontina :
selcom ndo mpango mzm
2026-10-29 09:17:39
14
user2562261575811
lightiness petro :
mimi Nisha watchable said siweki era nataka niende NMB mimi nilikuta nimechoka
2026-10-29 08:42:27
5
dada.muuza.mchele
Dada muuza mchele🤗 :
Hivi ni pesa tuu sina au Kwan inakuwaje kuwaje mpak mnaweka pesa benki 🤣🤣 hiv huwa mnalal usingizi kwely 🤣🙌🏾 aaah me hapna Jamn
2026-10-29 17:59:59
1
magrethregnald3
cute Maggie🥰🥰 :
😂😂 mpak nimeogop akanti yangu mpya jamani
2026-10-29 03:39:01
5
aavvllllvvvvvvvv1
🖤VR🖤 :
alafu kuna sisi tunasikiliza bank gani nzuri tuweke pesa,alafu tunaona kila mtu analia na bank yake😢😢😢
2026-10-29 06:27:17
3
bosslady2555
Boss Lady :
Mimi NMB kwanzia mwezi 8-10 wananikata ela nyingi ukiwapigia wanakwambia wamekata kimakosa
2026-10-29 11:16:31
1
linahmshanga
linahmshanga :
Msaisahau na NNMB 😭😭😭
2026-10-29 12:03:23
0
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
Pesa haiwekwi Bank
2026-10-29 13:36:22
0
ammyamie03
Khamidah salumu :
Nitakaa napesa zangu ndani hadi ziliwe panya😂😂😂
2026-10-29 02:30:50
1
lifewithsiska25
lifewithsiska :
waambie hao me wamenikata elfu 50
2026-10-29 11:51:25
0
bernsuzah
Bernie❤️🌹 :
tell them
2026-10-29 14:22:45
0
mr.kidrayan2004
Kid rayan :
Kabla hujaweka card yako kwenye ATM machine kaguwa kwanza hyo sehemu vzur kuna watu wanafanya card skimming…..je carding skimming ni nin ni wizi wa taarifa za kadi ya benki (ATM au debit/credit card) kwa kutumia kifaa maalumu kinachonakili taarifa za kadi bila mwenye kadi kujua…..Alf wakishapata hzo data wanatengeneza card nyingne wanatoa hela za watu alfu pia hii nchi inahitajika wataalamu wa cyber security maana wakenya wanatuibia sanaa kwenye maswala ya carding 😞 so sad
2026-10-29 06:31:08
1
nikita_strawbery26
nikita_strawbery26 :
JAMANI MIMI NDO MAANA NATUMIA SELCOME BANK YAAN WAKO VIZUR SANA
2026-10-29 13:52:52
6
bryer316
Bryer❤️ :
heri nyie mm mshahara ukiingia tuu wanasema namba ya siri si sahihi 😂😂🙌 na wanafungia kadi uwiiiiii
2026-10-29 11:51:48
0
shuu939
Shuu#22 :
Ngoja niwe nchimbia pesa zangu chini ctaki kugombana na waja
2026-10-28 11:40:10
0
fellycutey
🦋🧸It’s twin💐🫦 :
NMB ni hatar kila mwez wanakata 5000
2026-10-29 13:38:29
4
benadethamwenda
first born :
Mimi mwenzio nishaachana na hizo bank, watajua wenyewe jamani nimewaachia nyie bhana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-29 12:25:58
1
vee94075
veee❤️❤️ :
mm niliamua kutoka pesa zote nakuhama kabisa🏃🏃🏃
2026-10-29 13:04:13
0
lemmyofficial5
Ms leocardia💝💫 :
waambiwe tu ndgu yangu tushachoka🥱🥱🙌💔
2026-10-29 13:22:23
1
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About