allah mjalie mpambanaji wangu apate riziki na kunipa furaha ya upendeza
2026-10-28 04:46:27
8
💦🧚♀️It's Habiby👸🌺 :
future husband umeskia
2026-10-28 03:34:15
0
Umm Ahmed♥️🕊 :
Ngoja niisev itanisaidia mbelen
2026-10-28 03:05:53
10
Fetty collection :
shekhe unatuchamba[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 04:18:08
1
Khadija Shosi :
😂😂😂😂uyoo n me kabsaaa 😂😂😂 sasa hawatuudumiii ndiomana nakata
2026-10-28 03:20:49
3
Chinanaa❤ :
je pesa mwatoa
2026-10-28 01:17:42
6
djamilah kambangwa :
Alaaaaa
2026-10-28 03:55:51
1
Asnati Atrash :
lkn mnatuchangany mnasema kujitia manukato ni haifai sas tuelewe vipi tufahamishe
2026-10-28 03:39:07
0
Inaya :
Sheikh tatizo hamtupi sasampa
2026-10-28 04:46:33
0
zizuu52 :
tunatamani hivo kufanya kila kitu lkn wengine hatujabahatika waume WA kutujali
2026-10-28 06:41:53
0
b yuwa :
hawatupe hela sheh
2026-10-28 06:31:09
0
fettym8 :
dah n kweli kabisa
2026-10-28 06:31:43
0
🦋Fine💕Girl🦋 :
Alhamdulillah sheikh umenisaidia kusema 🥰
2026-10-28 05:44:31
0
sauda Agarwal :
😂😂😂
2026-10-28 06:24:12
0
Weird Candy :
2026-10-28 05:27:50
0
Anty Besty Yummies :
swadaktaaa
2026-10-27 22:57:11
0
IT'S MIMAH 🇹🇿🇴🇲 :
ilaaa 😅😅😅😅😅
2026-10-28 04:32:29
0
Rukia Muhidini :
sauti ongeza shehe
2026-10-28 03:06:37
0
Wiser💛 :
Mhhh
2026-10-28 03:22:48
0
Peach🌝 :
pesa pesa pesa
2026-10-28 04:26:54
0
م/Loco brothers💖 :
Nimechora mwakagani ule
2026-10-28 04:16:43
0
why me :
muwambie na hao wanaume wenzenu watoe pesa kazi wanakataa tufanye ukisema ulazimishe unaambiwa chagua ndoa au kazi waambie wanaume wenzenu tumechoka na ss
2026-10-28 04:14:08
0
mamuu mpole🦋💫 :
sheikh taratibu 😂
2026-10-28 05:25:12
0
blessed Inaya🥰 :
🤣🤣🤣 shekh
2026-10-27 22:36:52
0
To see more videos from user @shukuru_bin_salum, please go to the Tikwm
homepage.