@jajirichard360: #somo_baraka #ukweli_wa_maisha360

KING_LUJAJI360@
KING_LUJAJI360@
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 21:10:47 GMT
23355
2433
77
242

Music

Download

Comments

neemayabwana5
NAHUMU 1:12 :
Babaangu nisamehe nilipokukemea nilipokuota
2026-10-28 07:17:05
13
side.taitor
Side Taitor :
Mtu hafi,very sure
2026-10-28 03:54:14
23
dugu760
sara kisimba :
Asante
2026-10-30 03:48:35
0
fridarottson4
fridarottson4 :
nikipitiaga magumu lazima babaangu nimuote nikiamka tu najua nipo salama
2026-10-28 05:51:05
13
fazamath
Fazamathe :
Baada ya kufatilia kwa Muda mrefu kwa mara ya kwanza Dkt Elie is wrong. Nikweli watu hawafi lakini mizimu ipo kweli na ni Aina ya majini, waulize watu ambao ni wachawi wakubwa au waganga watakuelezea ulimwengu wa mizimu ni branch ya sstanisms. Nikweli tunaishi kwenye miili ila sio hivyo anavoelezea
2026-10-28 11:30:20
5
santanamtongori
Santana Mtongori :
Ningumu wafia dini kukuamini mimi sitaki kusikia habari za akina Petro nataka kusikia kuhusu babu yangu na asili yangu inatosha
2026-10-28 17:09:14
15
sarahnyanda
MissApril :
kinachoishi kilikufa kilichokufa kinaishi
2026-10-28 04:06:15
16
director_sagumo_nails
director_sagumo_nails_zanzibar :
nakushukuru sana wewe Mungu ambae ulinifunulia baadhi ya mambo leo hii mpk wale waliojipenyeza tukawaamini wanapokosea najua kwamba wanakosea, Kaka yangu hapa umeenda wrong!!!
2026-10-28 14:44:29
1
saturday130
Sarah Komba :
waambie ukweli watu wafia dini hapo awakuelewi
2026-10-28 08:41:17
8
wemamedics
wema medics :
hata tunaowaita watakatifu ni marehemu
2026-10-28 04:56:37
8
floraibwe
Flora Ibwe :
makanisani tunaitukuza mizimu ya wa wazungu tena tunaiomba ituombee kama vile inatujua tunadharau mizimu yetu ya asili.
2026-10-28 16:32:46
6
jaffarykillo
KILLO :
umenigusa
2026-10-28 12:44:40
4
mussamabesi
Fundi :
Ukweli mchungu
2026-10-28 17:51:27
3
ayoub.sadi2
Ayoub Sadi :
'Ndugu, hata utakatifu ukiuzidisha, unaishia kuwa mwenye dhambi. Jifunze kuwa polarity.'
2026-10-28 12:02:54
4
danieljengela
[email protected] :
huwa nakuelewa sana
2026-10-28 17:49:25
2
madale033
madale033 :
Ipo siku ntakuja kujua haya maisha yng yote ilikuwa ni ndoto
2026-10-28 16:31:16
2
mekumeku88
meku meku :
ahsante sana
2026-10-28 08:28:21
3
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
Mtakatifu Petro uniombeee😅😅😂
2026-10-28 17:14:56
2
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
safi sanaaaa mkuuu
2026-10-28 11:01:52
2
user8050150675400
Peter Lyimma _Field Marshall :
umenena vyema
2026-10-29 00:03:54
1
susan_madini01
susan madini kahama :
Mimi nikiota ndugu zangu walio kufa hao wote ni watakatifu kwangu
2026-10-30 15:31:00
0
shedrackprudensi
penith shedrack :
yashindwe kabisa kwa jin la yesu
2026-10-30 11:47:54
0
halisi54
Halisi :
lakini mbona Tajiri alimwomba Ibrahimu amtume mtu akasema haiwezekani, imeandikwa hakuna ijara kati ya aliye hai na aliyekufa- sijaelewa tafadhali
2026-10-30 08:13:04
0
user3344687676614t
Mvamila wa mvamila :
uhakika san mkuu
2026-10-30 06:58:45
0
lucky.girl.aura3
Lucky girl aura :
Asante mama angu nilikuona umekuja na mavazi meupe hadi kilemba chako umependeza sana lakini baadaye ulinitoroka ukumiambia chochote.
2026-10-30 20:44:41
0
To see more videos from user @jajirichard360, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About