@user4124268818326:

biaisha_tz
biaisha_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 21:28:24 GMT
446249
34972
2388
237

Music

Download

Comments

faridarashid6209
cute faa🦋 :
duuuuuh polen Sana ambao tulio ingia leba na tuka tokasalam tumshukul mungu
2026-10-28 03:50:56
1193
daddys.lil.prince67
❤️daddy’s lil princess💕 :
Sooo painful
2026-10-30 16:04:14
0
abdemy4
abdemy4 :
poleni
2026-10-30 16:06:13
0
serious.lady.001
happy@eve :
yawa mungu jst give women who are giving birth life to be with their babies haki plz God nimeomba tu
2026-10-29 17:16:47
0
lora04321
Lora🥰❤️ :
nimejifungua week sasa 🙌😭 aise hapana Yale maumivu ni mazitoo ndy Maana wengine wanashindwa kuhimili 😭 Hadi naogopa kwakweli ila Mungu mwema nimetoka salama na Mwanangu 🙏Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi 🙏
2026-10-28 06:55:06
174
farajasuda825
Ma yu :
polee[Pray]
2026-10-30 16:01:49
0
tunu_babyshop_mbeya
tunu_babyshop &maternity_mbeya :
Mungu awasaidie wanawake wajawazito wajifungue salama warudi nyumbani na watoto 🙏🙏🙏🙏
2026-10-28 13:48:50
100
thedon.girl
The Don girl :
Hao watoto ndio kilinikuta mimi, mpaka leo hata sura wala picha ya mamaangu siijui😓😓😓😓😓😓
2026-10-28 15:54:17
53
shabanswaum33
shabanswaum33 :
polen sn mie naingia natoka pekee yangu Allah walinde hao watoto wakue salama
2026-10-28 05:33:58
63
maliamzbyl
Chalii ya kasi :
oooh jmn pole
2026-10-29 14:55:51
1
user2078761873588
hidaya lameck :
Asante mungu kwa kunitoa salama uzaz unatumaliza mungu ampe mwanga wa milele mwanamke jasil😭😭
2026-10-28 07:29:04
26
neylalorry51
Neyla41 :
😭 mungu simama na malaika wako walobaki wakue vyema pole nyingi kwa familia
2026-10-28 03:50:40
38
waah.vanny
waah vanny :
Poleni
2026-10-30 16:38:19
0
user261532924738
Annastazia :
poleni sana jamani mungu awalinde ao watoto
2026-10-28 05:04:50
16
user6380600119747
may_ mussa :
duuuuu inaumaa sana kumpoteza mommy inauma mnoo
2026-10-29 13:38:35
5
stephanojosephu58
Stephano Josephu :
Roho ya marehem ilale mahara pema pepon ipumzike Kwa amani Amina.
2026-10-28 01:17:59
10
lizzy.beth034
Lizzy beth :
jamn mungu tungepat nafasi ya kumuuliza ni ngemuuliza sasa nawaza lkn spati majibu daah poleeni san family mungu awape uvumilivu na nguv za kuwalea hawo malaika
2026-10-28 04:39:05
12
faudhia.jumaa1
faudhia jumaa :
allah akunguzie aabu ya kaburi
2026-10-28 00:40:52
8
user5633067599805
Qaiyla Ally :
pole sana mungu atujaalie mwisho mwema
2026-10-28 11:03:07
5
kidoti.mc
kidoti mc :
ohoooo jamaniii! nimeumia sana😭😭😭😭 mbele yake nyuma yetu.
2026-10-28 07:18:20
16
user6145349161185
nadya fighter :
😭😭😭nakumbuk uliniambia dada nikijifungua nikukununulie vijor na watot niwanunulie nguo
2026-10-28 19:01:17
9
mama.boyssabrina
Mama Boys 2016 :
Mungu Awatunze watoto
2026-10-30 17:00:36
1
saumu6858
saumu :
sorry
2026-10-29 17:44:13
1
oficialmapoz
oficial ruqaiyah :
pole sana
2026-10-29 13:18:00
1
aminamashui485
amina23 :
polen san mungu awatie nguvu
2026-10-28 15:11:54
1
To see more videos from user @user4124268818326, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About