@hikups.kikons: Baba Mdogo wa kijana anayefahamika kwa jina la Ndesa, anayedaiwa kuhusishwa na matukio ya uhalifu Jijini Arusha, amesema familia yao inashukuru kufuatia kifo cha kijana huyo kutokana na tabia zake zilizokuwa zikiwasumbua. Akizungumza na AyoTV katika msiba wa Kijana huyo aliyezikwa leo, Oktoba 27, 2026, Baba Mdogo huyo amedai kuwa familia ilikuwa imechoshwa na tabia za Ndesa, akieleza kuwa alikuwa akijihusisha na vitendo vya wizi, ikiwemo kuwaibia Ndugu, Wazazi na Wanafamilia wengine. “Tumemchoka, anaibia hadi familia, apumzike,” amesema Baba Mdogo wa Kijana huyo. #MillardAyoUPDATES #fypシ #capcut #funny #breakingnews

Hikups Kikons
Hikups Kikons
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 23:50:00 GMT
86461
2026
59
92

Music

Download

Comments

user142080830732
MOM G :
Mzeee hataki unafki 🥺🥺
2026-10-28 05:15:44
42
muzneyally
Muzney Ally :
Huyu baba unaweza ukamuona tofauti lkn yuko sahihi
2026-10-28 07:15:45
28
neemandagamso
Neema Ndagamsu :
ninawasiwasi baba huyu ndiye muhusika kwenye ulimwrngu wa Roho tuombee watoto wetu
2026-10-28 05:32:19
11
djprezdar
Bravo the Dj⛎ :
Mzee kanyooka🙏
2026-10-28 05:13:10
22
icent464
icent :
hongera magu🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-28 08:11:26
1
mick.zegu
MICK ZEGU :
DAH HATARI SANA
2026-10-28 02:48:32
8
hikups.kikons
Hikups Kikons :
Hakuna unafiki hapo
2026-10-28 05:45:01
8
user6843586001816
nganganga :
MWENYEZI MUNGU Amsameh Zambia zake ,ila vijana wengi mjifunze kwa ili hadi kufikia ndugu zake kumchoka kutokana na tabia zake tuachana na taibia mbaya wizi uhuni na mambo mengine.
2026-10-28 05:26:07
7
twillumbamahenge
Tumaini Mahenge :
Kumbe si baba mzazi ndiyo maana anasema hivyo 🥺
2026-10-28 06:20:27
4
cjoicy.dicsoni
joyce samwel :
Mzee Yuko sahihi Hana unafki vijan wajifunze
2026-10-28 06:32:19
6
mtesi.mkalazi
cute smile🥰 :
camera man yupo makini na jikoni
2026-10-28 08:24:21
2
annastaziafausti71
Annastazia Faustine :
mhhh kijana mzuri kumbe muharifu jamani
2026-10-28 09:51:09
1
reymar02.2
Mrs Cadary :
Daaah apumzike kwa aman
2026-10-28 06:53:10
3
narish1111
Narish1111 :
Nyie mtamlau huyu baba lakin ukiwa na ndugu kama huyu kwenu ndo utauona uchungu wake maana haibi tu kwa watu anaiba mpaka nyumbani na anaiba kitu kinacho wasaidia akija mnaanza kuzunguka nae kila mtu anachunga vitu vyake🥺yeye aende bwana Mungu awaongoze watoto wetu🤲
2026-10-28 07:32:25
2
muarabu0005
mamshy :
mzee kaongea na busara
2026-10-28 06:29:20
1
user78490342027053
user78490342027053 :
naona watu wanajipikilisha wale zao mi nikiwaambia ishi mtakavyo ukitoka duniani huna dhamani hamurlewi
2026-10-28 06:39:28
1
dorry3723
Dorry🦋 :
jmn uyu kaka ni endsome boy arafu arikuwa anajuwa watu uwiii
2026-10-28 06:52:29
1
hikups.kikons
Hikups Kikons :
du machaliii wa Chuga du [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 05:42:57
1
95roshm
roshm 95@ :
tunataka iyo shukran baada ya miaka mitatu ijayo, mzee ndio harudi Tena uyo.unajuaje kama baadae angebadilika
2026-10-28 06:16:44
1
ngweta.ngweta.ngw
penzi jipya :
mmmh uyooo nae
2026-10-28 05:28:26
0
franceswai733
franceswai733 :
huyo mzee ni mimi kabisa
2026-10-28 10:57:54
0
gracephidelis
Grace Phidelis :
ndio maana unasema haraka hivo apumzike , mtoto wa kumzaa mwenyewe anauma bro😭😭😭😭😭
2026-10-28 11:54:40
0
pilimohamed458
HipPop Gear :
tutende wema kwa wazazina jamii inayo tuzunguka, ifike wakati wazazi watutetee tusiondoke kama huyu
2026-10-28 12:47:54
1
let.me.do.it.468
Edga msemwa :
Mzee nlikua hasaidiwi
2026-10-28 10:26:17
0
ms.aggy18
UNSTOPPABLE WOMAN ❤️ :
huyu si mdg ake Alisa jamn
2026-10-28 10:15:59
0
To see more videos from user @hikups.kikons, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About