nyimbo pendwa yamamaang Allah mponye mamaang arud kama zamn🥰🥺
2026-10-28 07:46:12
69
@ndy :
heri ya ninyi mlikuwa na wazazi wanawakumbusha kwenda shule na kusoma,wngn hatukupata hiyo bahati
2026-10-28 09:31:17
17
💕 girly 💕 :
naamka na ela ya kulla siombi
2026-10-28 06:27:19
11
Sauda Mohamed :
Amen
2026-10-28 11:23:23
1
user495814333486 :
2026-10-28 11:48:54
1
Safina Dodo :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpaka lanch sirudi narudi jioni
2026-10-28 06:10:20
5
He is Patty🇬🇷 :
Ilikuwa nyimbo ya baba angu kila akitoka kulipa ada 🤣🤣
2026-10-28 09:27:10
2
erimusic :
Elimu ndo ufunguo wa maisha lazima pasipo na apo utaenda njia hisiofaa kabisa
2026-10-28 07:11:01
7
R² :
tulio kuwa tunakwepa mathe apaaa
2026-10-28 11:12:01
1
Nyamboya🤴 :
soma mwanangu
2026-10-28 10:13:59
1
asifiwe kilas :
wangu nikiwaamusha tuu wanasema mama nakiusingiz kidogo acha nimalizie[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-28 07:59:36
1
Mr.Erasto :
😂😂
2026-10-28 09:10:38
2
Raman :
hapo lazima uishiwe pawa
2026-10-28 08:35:30
1
Y.N.M.🏖️ :
[Big LOL]
2026-10-28 07:38:18
1
nyemoh🥰 :
😂😂😂lazma uamke
2026-10-28 09:22:42
1
Madame G :
2026-10-28 09:07:31
1
johayna🥰😘🍇 :
uwiiii
2026-10-28 05:43:27
6
Minnie🍃 :
2026-10-28 06:41:35
1
SELINA⚜️ :
siendiiiiiiiiii 😂😂
2026-10-28 06:31:56
3
miy bite :
daaa ila elimu
2026-10-28 08:31:41
3
samayrah ⭐️💞 :
natamani kulia ila hata nyimbo siijui ndiothe first time nasikia hapa
2026-10-28 11:37:40
1
diksoni :
sisi ilikua mzazi akiona uendi shule anadurahi ili akupqngie makqzi zake🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 11:01:54
1
Photunatus Peter :
simpendi iyo nyimbo Sasa mama kilasiku alikua anaiweka mda wote ikifika usiku Kama ujaoga anakuuliza umeoga bad chagua nikuweke uwimbo au ukaoge ata saa 6 usiku
2026-10-28 10:21:43
1
lacaboyy :
hii nyimbo ilipigwa siku tatu mfululizo na baba baada ya matokeo ya mtihqni kuwa wa mwisho
2026-10-28 09:31:58
1
edward Elias :
sha
2026-10-28 06:46:03
1
To see more videos from user @itsdeen5, please go to the Tikwm
homepage.